Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipata Mkuu. Welcome Again . Tupia Neno Kama Ni Mdau Wa Hii Thread.
Jina nani huyoAmeen! Pia Lab Technician Alipass away. Last Year...! May Their Souls Rest In Peace.
assembly jirani na s3.. hii kaliWanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....
Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...
Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
Kwa nini mkuu?assembly jirani na s3.. hii kali
LAW Namkumbuka BinamunguHaa haa! Ngoja tatty aje mwenyewe Aseme. Nahisi Atakuwa Law.. Ha ha ha.
Umesahau MikongeniIkifika Weekend Wadau Wanashuka Chuo Kubet, Magazeti, Supermarket, Church, Kilima Hewa, Changarawe,Wengine Town. Daah! But At The end of Day Watu Wanatusua Paper Kikwelíi..!
Nikumbushe huyu binamungu. Jina sio geniLAW Namkumbuka Binamungu
Alikuwa mwalimu maarufu sana wa sheria tangu enzi za IDM mpaka ilivyokuwa Mzumbe University Sina uhakika kama bado yupo pale sasa hivi.Nikumbushe huyu binamungu. Jina sio geni
Teh teh nimekumbuka ktu. Kule mzumbe University tulikua tunakuja kusoma pindi umeme ukikatika kule mzumbe secondary basi kuna siku walimu walikuja kufany ambush kule kule chuoni..Alikuwa mwalimu maarufu sana wa sheria tangu enzi za IDM mpaka ilivyokuwa Mzumbe University Sina uhakika kama bado yupo pale sasa hivi.
teh teh teh😀KULIKUWA NA MWALIMU WA KITUSI MWAKA 1995 ALIFUNDISHA HISTORY MRS RUBAGUNYA DAAH MAMA AMEUMBIKA SIJAPATA KUONA DUNIA HII NILIKUWA SIPENDI HISTORY ILA SIKOSI KIPINDI KUSHUHUDIA UUMBAJI WA MUNGU KWA HUYU MAMA
enzi zetu kulikua hakuna darasa la biology karibu na assembly. Biology s3 lilikua chini kabisa nyuma ya nyumba ya yule mzee wa maktaba. hapa assembly kulikua na hgl, s1 na s2. labda miaka uliyo soma kama walibadirisha.Kwa nini mkuu?
Sikumaanisha assembly hall ambako ni jirani na bwalo. Nilimaanisha parade ground ambayo iko imezungukwa na madarasa ya form six PCM, biology lab, dispensary, kiwanda cha uchapishaji Mzumbe na madarasa ya Olevel...
Mkuu,enzi zetu kulikua hakuna darasa la biology karibu na assembly. Biology s3 lilikua chini kabisa nyuma ya nyumba ya yule mzee wa maktaba. hapa assembly kulikua na hgl, s1 na s2. labda miaka uliyo soma kama walibadirisha.
Bila shaka utakuwa ulisoma enzi za headmaster Msuka...enzi zetu kulikua hakuna darasa la biology karibu na assembly. Biology s3 lilikua chini kabisa nyuma ya nyumba ya yule mzee wa maktaba. hapa assembly kulikua na hgl, s1 na s2. labda miaka uliyo soma kama walibadirisha.