Basi nilikuwa mwalimu wako. Kwani hujawahi kufundishwa na mwl wa kike?Haaaa haa awaaaaapi! Hamna Mpishi Wa Kike Pale. Labda Unidanganye Ulikuwa Unapika Salooo....,,
Enzi za mwl wibonele (rip)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nilikuwa mwalimu wako. Kwani hujawahi kufundishwa na mwl wa kike?Haaaa haa awaaaaapi! Hamna Mpishi Wa Kike Pale. Labda Unidanganye Ulikuwa Unapika Salooo....,,
Mzumbe safi? Labda siyo Mirambo niliyokuwa naifahamu...hahahahahahh nilikuwa Nina dogo anasoma pale advance siku niliyoenda kumcheki alinionyesha hapo chatu zone
halafu mzumbe kuna bundi wengi sana hahhahahh
ila wanafunzi wasafi sana
yaani mabweni masafiii
ukiinhia na ndala tu unapigishwa deki.
nilikaa mzumbe wiki mbili bweni kiwiziwizi japo siku mwanafinzi Wa shule mi nilikuwa nasoma.dar
Chatu alionekana mwaka 2003 baada ya jitihada za kummeza mbwa kudhindikana. Nolikuwa ' faculty' siku hiyo...Ha ha ha! Ni Kweli Mkuu Ndala Na Viatu Unaacha Kwenye Ngazi Ukichoma Tu Unadeki Bweni Lote. Pia Chatu Zone Palikuwa Panaishi Chatu Mkubwa Kuna Mdau Alimuona Pindi Anapita Wakafanikiwa Kumuua. Kenge Na Bundi Wapo Sana Hapo. Cc Mazigazi
Mara ya mwisho tulipewa adhabu ya kufyeka pale chatu pori. Tulifyeka mianzi yote ile.Chatu alionekana mwaka 2003 baada ya jitihada za kummeza mbwa kudhindikana. Nolikuwa ' faculty' siku hiyo...
Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....Duh! Nani Alifanikiwa Kumuua Mkuu? Au ulijitoa Muhanga Kumuua...? Haa haa.
Malamsha alishafariki mkuu...alitufundisha kilimo fomu nyoka...I hope Ulimkuta Minja, Shayo, Malamasha Wote Nasikia Wapo. Kuna Mpishi Mrefu, Slim, Ananyoa Pank. Alifariki Mwezi 3 this year.
Alikuwepo. Alikuwa anaitwa shangazi. Labda kama hukumkuta mkuu...Haaaa haa awaaaaapi! Hamna Mpishi Wa Kike Pale. Labda Unidanganye Ulikuwa Unapika Salooo....,,
Mbwa aliwaokoa Mkuu Pengine Angeliwa Mtu Pale.Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....
Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...
Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....
Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...
Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
mkuu umenikumbusha longi sana. kwenye hilo sakata la chatu 2003 nami nilikuwepo, nilishiriki hadi kuchimba pale alipoingia shimoni. hahaaaa. Namkumbuka sana shangazi, alikuwa rafiki yangu, siku ya pilau ananidokolea supu teh tehAlikuwepo. Alikuwa anaitwa shangazi. Labda kama hukumkuta mkuu...