Mzumbe Sekondari

Mzumbe Sekondari

hahahahahahh nilikuwa Nina dogo anasoma pale advance siku niliyoenda kumcheki alinionyesha hapo chatu zone

halafu mzumbe kuna bundi wengi sana hahhahahh

ila wanafunzi wasafi sana

yaani mabweni masafiii

ukiinhia na ndala tu unapigishwa deki.

nilikaa mzumbe wiki mbili bweni kiwiziwizi japo siku mwanafinzi Wa shule mi nilikuwa nasoma.dar
Mzumbe safi? Labda siyo Mirambo niliyokuwa naifahamu...
 
Ha ha ha! Ni Kweli Mkuu Ndala Na Viatu Unaacha Kwenye Ngazi Ukichoma Tu Unadeki Bweni Lote. Pia Chatu Zone Palikuwa Panaishi Chatu Mkubwa Kuna Mdau Alimuona Pindi Anapita Wakafanikiwa Kumuua. Kenge Na Bundi Wapo Sana Hapo. Cc Mazigazi
Chatu alionekana mwaka 2003 baada ya jitihada za kummeza mbwa kudhindikana. Nolikuwa ' faculty' siku hiyo...
 
Chatu alionekana mwaka 2003 baada ya jitihada za kummeza mbwa kudhindikana. Nolikuwa ' faculty' siku hiyo...
Duh! Nani Alifanikiwa Kumuua Mkuu? Au ulijitoa Muhanga Kumuua...? Haa haa.
 
Basi nilikuwa mwalimu wako. Kwani hujawahi kufundishwa na mwl wa kike?
Enzi za mwl wibonele (rip)
Haa haa! Bhasi Utakuwa Mzee Sana Kama Ulinifundisha Maana Nilitinga Pale Mwaka 89.
 
Mzumbe safi? Labda siyo Mirambo niliyokuwa naifahamu...
Aaaagh! Jamaa Huenda Alifika Pale "Fede" That's why akajua Kupo Hivyo Kotee...! Angekuja Msimu Wa Mvua Ange Surrender. Tope Jekundu Kama Volcano.
 
Duh! Nani Alifanikiwa Kumuua Mkuu? Au ulijitoa Muhanga Kumuua...? Haa haa.
Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....

Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...

Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
 
Mara ya mwisho tulipewa adhabu ya kufyeka pale chatu pori. Tulifyeka mianzi yote ile.
Nilipita Apo Zone Mianzi Imechipua Upyaaa. Naona Soon Watagema Pombe Ya Ulanzi. Ha haa.
 
Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....

Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...

Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
Mbwa aliwaokoa Mkuu Pengine Angeliwa Mtu Pale.
 
Funny Enough I Heard Bond La Mzukila Limekufa Nowdays. Sipati Picha Wazumbe Watakuwa Wana Refresh Vipi Kwenye Events Kama Za Kidini, Graduu, Debate, Joint Exams nk.
 
Tumekula hela za watoto wa mzumbe kwa kufanya umamluki kwenye qum..... ila baadaye wadada walianza kuleta upuuzi akishindwa kulipa hela anakupa naniliuuuu....
 
Tumekula hela za watoto wa mzumbe kwa kufanya umamluki kwenye qum..... ila baadaye wadada walianza kuleta upuuzi akishindwa kulipa hela anakupa naniliuuuu....
Duuh! Nimetoka Mweupe Hapo. Itakuwa Good Ukiexplain More Mkuu.
 
Kuna Msemo Mmoja Wa Uzumbeni Niliupenda Nanukuu "Ukifika Getini Una Three, Ukiingia Darasani Una Two, Na Ukimsikiliza Mwalimu Una One" Haa haa. Una Ka Ukweli Ndani Yake Enzi Zetu When Mzumbe Was Mzumbe.
 
Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wengine wa shule....

Baadaye alipelekwa pale assembly jirani na form six S3 ili kutangaza ushindi...

Bahati mbaya mbwa alikufa coz alishavunjwa vunjwa mbavu...
Alikuwepo. Alikuwa anaitwa shangazi. Labda kama hukumkuta mkuu...
mkuu umenikumbusha longi sana. kwenye hilo sakata la chatu 2003 nami nilikuwepo, nilishiriki hadi kuchimba pale alipoingia shimoni. hahaaaa. Namkumbuka sana shangazi, alikuwa rafiki yangu, siku ya pilau ananidokolea supu teh teh
 
Back
Top Bottom