Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nikisia hiyo kauli ya chawa wa mama huwa nakerekwaSifa na utukufu vyote apewe Mungu. Sasa chawa wanataka sifa na utukufu apewe Samia
Kwa kusaidiana ndio tunakuwa tunafanya kazi ya MunguMkuu ww km unauwezo wakusaidiaa ww saidiaa tu .MUNGU atakulipiaaa
Hata Yesu alingoja shukrani kutoka kwa wale wakoma kumi. Alirudi mmoja tu kushukuru, akashangaa sanaWatakwambia “tenda wema usingoje shukran"
Roho inakuwaje na race?Hata Mungu ni mzungu kwa mswahili
Shetani niggaHata Mungu ni mzungu kwa mswahili
God is like malware for the human brain 🧠Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia.
Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu amenisaidia.
Hivi Waswahili, kwanini tuko hivi? Je, hii ndio roho yenyewe ya uchawi ya kutaka wengine wenye shida kama yako waendelee kutabika bila msaada? Au sisi ndio tuko karibu sana na Mungu kuliko wazungu?
I agreeGod is like malware for the human brain 🧠
Huyo ana mapepoLakin hata kwa anaesaidia pia wapo ambao hupita kutangaza bila mimi yule isingekua hivi.....hiyo unaionaje?