MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
angetaja jina wangemshtakiSomething illegal lol
Ile ya TangawiziMbona kwao VIAGRA ina......
Viagra apo inaingiaje??Mbona kwao VIAGRA ina......
Shirika la viwango na TMDA ndio wa kuwalaumu, si wao wamepitisha?Something illegal lol
Kwanini asishangae redbull wakati ina matangazo kila kona huko kwao
Alafu unafikiri wanaozitengeneza/kuzizalisha wanazitumiaTanzania sumu ni nyingi Sana zinauzwa kama hizi pombe spirit zinazonywewa kwenye vichupa. Vijana wengi wameua figo na wapo dialysis lakini bado vitu ni leggal