Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hii dunia Ina mabalaa mengi Kuna lotion 🧴 Fulani wife huwa anaitumia Mimi nikaenda kuinunua bila kuangalia expired date.Tatizo hao watumiaji wengi hawajui kwann wanatumia na asilimia 70 ya wa TZ hawasomi ingredients wala expire date ya bidhaa yoyote wanayo hitaji kuitumia.
Siku napiga story za hapa na pale akanambia hiyo lotion uliniletea ime expired ukitaka kujua angalia inakua laini Sana pia expired date imefutwa futwa na kweli ikawa ivyo..
Hata kwenye madawa ya binadamu wapo wanao chezea expired date imefutwa na kuweka nyingine
Kwenye eneo la vinywaji na vyakula ndio balaa aisee mungu atusaidie kwa kweli..