Mzungu ameshangaa kwanini Azam energy inauzwa hadharani

kwani red bull sio energy..!!
human matters ni ngumu sana kuzielezea mi nafikiri hata Mungu akiulizwa kuhusu maisha ya mwanadamu atatumia si chini ya sentensi 30!!.
hapo ndo atakuwa ameeleza kwa ufupi na akaeleweka!.

kwanini..??
kwasababu maisha ya binadamu yanamchanganyiko sana tofauti na ya kiumbe chochote kile nafikiri viumbe ambavyo vinakuwa na intelligence kubwa hata maisha yao yanakuwa complicate sana!.
binadamu huyohuyo anaekunywa hiyo energy ndie anaeitengeneza huku akijua inamadhara na ndie binadamu huyohuyo hata akiambiwa asinywe,atakunywa huku akijua inamadhara!. haitoshi wewe unaejilinda na vitu vyenye madhara unaweza ukafa mapema kushinda wanaokunywa hizo energy,pombe,bangi n.k maisha ni kama hayana slogan moja yakueleweka na hata kama ipo basi ni bado hatujaifunua!..

wapo watu nawajua ni walevi haswa na sasahivi wanagonga miaka 80 na mpk sasa wanakunywa liquor ambazo hata mimi siwezi kuzinywa yani ni kali haswa!..😂
na waliaza kunywa hata kabla sijazaliwa na wanakula sigara,bangi n.k
mi nafikiri miili yetu inatofauti sana ktk namna yaupokeaji wavitu!. mwanadamu sio tu kiumbe mbishi ni kiumbe kilichoshindikana na nafikiri hata leo dunia iteketezwe basi ndo anaweza kuwa kiumbe wamwisho kukata pumzi!,hii nikutokana na uwezo alionao na mbinu alizonazo zakuishi!.

life is very complicated,mtu huyohuyo anaweza kunywa sumu fulani akafa na mtu huyohuyo anaweza kunywa sumu aina yengine yenye nguvu kushinda ya awali na asife!.. nafikiri kuna mechanism tofauti tofauti tunatofautiana ktk miili yetu!.
 
Yeye mwenyewe anatumia ila katahadharisha kama maelezo yalivyo kwenye chupa, hizo ingredients za energy siyo vitu salama sana kuvizoesha kwenye mwili wako kila siku unapiga caffeine na hizo taurine kama vile una congestive heart failure wakati ni mzima wa afya baada ya muda flani inaweza kukuletea madhara
 
Attachments

  • Screenshot_20240919_121150_Google~2.png
    Screenshot_20240919_121150_Google~2.png
    168.6 KB · Views: 1
Mi nilivyomuelewa ni kwamba kwenye hiyo ENERGY DRINK UKIACHANA NA INGREDIENTS ZILIZOMO KATIKA LEBO(kama caffeine nakadhalika) KUNA INGREDIENT NYINGINE AMBAYO HAIPO KWENYE LEBO.

Na hiyo ingredient ni haramu hairuhusiwi kisheria.
 
kwani red bull sio energy..!!
human matters ni ngumu sana kuzielezea mi nafikiri hata Mungu akiulizwa kuhusu maisha ya mwanadamu atatumia si chini ya sentensi 30!!.
hapo ndo atakuwa ameeleza kwa ufupi na akaeleweka!.

kwanini..??
kwasababu maisha ya binadamu yanamchanganyiko sana tofauti na ya kiumbe chochote kile nafikiri viumbe ambavyo vinakuwa na intelligence kubwa hata maisha yao yanakuwa complicate sana!.
binadamu huyohuyo anaekunywa hiyo energy ndie anaeitengeneza huku akijua inamadhara na ndie binadamu huyohuyo hata akiambiwa asinywe,atakunywa huku akijua inamadhara!. haitoshi wewe unaejilinda na vitu vyenye madhara unaweza ukafa mapema kushinda wanaokunywa hizo energy,pombe,bangi n.k maisha ni kama hayana slogan moja yakueleweka na hata kama ipo basi ni bado hatujaifunua!..

wapo watu nawajua ni walevi haswa na sasahivi wanagonga miaka 80 na mpk sasa wanakunywa liquor ambazo hata mimi siwezi kuzinywa yani ni kali haswa!..😂
na waliaza kunywa hata kabla sijazaliwa na wanakula sigara,bangi n.k
mi nafikiri miili yetu inatofauti sana ktk namna yaupokeaji wavitu!. mwanadamu sio tu kiumbe mbishi ni kiumbe kilichoshindikana na nafikiri hata leo dunia iteketezwe basi ndo anaweza kuwa kiumbe wamwisho kukata pumzi!,hii nikutokana na uwezo alionao na mbinu alizonazo zakuishi!.

life is very complicated,mtu huyohuyo anaweza kunywa sumu fulani akafa na mtu huyohuyo anaweza kunywa sumu aina yengine yenye nguvu kushinda ya awali na asife!.. nafikiri kuna mechanism tofauti tofauti tunatofautiana ktk miili yetu!.
Nadhani ni vyema Tukaishia Hapa
 
Wewe jamaa unajikutaga unaongea point maneno mengii kumbe pumba tu
 
Back
Top Bottom