SueIsmael
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 932
- 1,282
Sio kweli. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia, Ujerumani ilikuwa katika hali mbaya sana. Miundombinu yake iliharibika sana, hawakuwa hata na chakula mpaka Marekani ikawa inawadondoshea vifurushi vya chakula, maji na dawa kwa ndege ili kuwanusuru. Hiyo ilikuwa mwaka 1945. Leo hii Ujerumani ni taifa linaloongoza kwa nguvu ya kiuchumi duniani. Kilichowakomboa ni uongozi imara na utajiri wa kifikra wa watu wake kugeuza fursa chache walizopata kuijenga nchi yao upya.Kuitengeneza nchi ni maendeleo ya vitu sio watu
Leo hii utajenga daraja, ila kama hauna watu wenye uwezo wa kulitumia au kulihudumia ipasavyo, litaleta hasara badala ya faida.