Waafrika matatizo tunayatafta wenyewe. Tunasshindwa kutengeneza nchi zetu tunakimbilia za wazungu, kwani tuliwasaidia kutengeneza nchi zao?
Mkuu,
Pamoja na Matatizo(Mapungufu-Changamoto) ya Waafrika Tuliyonayo katika kuongoza Mataifa yetu.
Bado haiondoi Ukweli Kuwa Baadhi ya Mataifa Makubwa Kama UK,German,USA na Mengine Utajiri Wao pia Umechangiwa na Unyang'anyi Wa Mali na Raslimali Watu Walio Ufanya Africa na baadhi ya Mabara Mengine.
Kumbuka Pia Kuna Ukolini Mamboleo..!
JK nyerere Alifika Mbali nakusema Maendeleo ya Unyang'anyi-akiwatupia Madongo America na Ulaya.
Kuna hotuba moja ya Nyerere, kipindi cha Wosia Wa baba ilikuwa ikichezwa sana.
Alikuwa anaelezea dhana Ya Maendeleo.
Maendeleo ni nini..
Nini tufanye Tupate Maendeleo..
Hii hotuba Bwana Nilimheshimu kwa uwezo wa Juu sana,alikuwa anatiririika,alikuwa aneelezea kwa haraka zaiidi kwa Wepesi wa hari ya juu anafafanua kiwepesi hata kama kichwa kizito hutoki mtupu..akisindikiza na facts za kutosha.
Anasema Kama America Wanatengeneza coca na sisi tutengeneze Tunywe shida iko wapi.
Wakaangalia dunia Wakaona nchi za mfano kuhusu maendeleo Wakaiona America kaskazini na Ulaya zina ng'aa na zinamelemeta zinagrita.
Wakaona Wao Wanamajibu yamaana kuhusu Maendeleo...Wakaiga.
Kumbe sikilaking'a acho Ukadhani ni dhahabu...Sasa inadhaniwa ni Wengi Njia yao Simpuli kanoti bi dani..
Maendeleo Ya Unyanganyi/dhuluma hii Planeti au dunia Haiwezi...
Nyerere hii hotuba kichwa Kilikuwa kinafanya kazi kweli kweli alitisha sana.
Pamoja na kuvurugwa Historia Yetu Watu Weusi,Elimu, bila kusahau Kuwekwa daraja la mwisho la binadamu na Hawa wababe na Matatatizo Yetu Pia.
Tunaweza Kusonga Mbele na kufanya Makubwa sana katika Mataifa Yetu...!
Dambisa Moyo-Dead Aid.
Walter Rodney-How Europe Underdeveloped Africa.
Daron & James -Why Nations Fail.
Lee yuan keew- Singapore Story :From Third World To first.
John Perkins-Confession of an Economic hit Man.