Wasomi na wanasiasa ndio mwibaHapo ndio tunatakiwa tuelimishane ili tuushinde huu mfumo kandamizi.
Tuachane na viongozi walafi wapenda matumbo yao na familia zao.
Wakala wa mfumo gani?Wasomi na wanasiasa ndio mwiba
Kuna mtu nikisema mtu kama Lissu ni wakala wa mifumo hiyo atasema naleta siasa
Kuna neno moja kiongozi fulani "dunia bila tanzania inaweza kuishi"Waafrika matatizo tunayatafta wenyewe. Tunasshindwa kutengeneza nchi zetu tunakimbilia za wazungu, kwani tuliwasaidia kutengeneza nchi zao?
Wakala wa mfumo gani?
Mzungu hamburuzi mtu, viongozi wako ndio wanakuburuza.Hapa hatuwezi kuelewana, mimi naona mzungu ataendelea kutuburuza sana
Mzungu hamburuzi mtu, viongozi wako ndio wanakuburuza.
Hii mikataba kandamizi tuliyoingia na wazungu ilisainiwa na nani?Hili nalo tutabishana?
Hii mikataba kandamizi tuliyoingia na wazungu ilisainiwa na nani?
Tuanzia kwenye tatizo halafu tuje suluhishoMagufuli akipambana nayo anakuja mzungu kwa mdomo wa wapinzani kwamba tunaharibu diplomasia
Diplomasia bila win win situation ni wizi kama wizi mwingine tu
Tuanzia kwenye tatizo halafu tuje suluhisho
Ukisema tumekumbatia una maana ya nani?.Tatizo tumekumbatia mifumo ya kigeni kuanzia kiutawala, kiimani na kiutamaduni
Hivi nikisema tumekumbatia sieweki? Namaanisha ujinga ni wetuUkisema tumekumbatia una maana ya nani?.
Hujanijibu mikatana hii kandamizi ambayo leo tunamlaumu TL ilisainiwa na nani na nani alikuwa Waziri kipindi chote mikataba inasainiwa?
Kuna clip ukitaka nitakuwekea hapa, Mzee Baba anamwambia JK safiri nenda katafute pesa ulete hapa tujenge mabarabara.
Sasa leo imekuwaje?
Kwanini chuki msielekeze kwa hao waliosign hiyo mikataba na kuikumbatia kwa zaidi ya miaka 25. Mnakuja kuileketa kwa mtu ambaye anafumua ukweli uliopo ndani ya hiyo mikataba?Hivi nikisema tumekumbatia sieweki? Namaanisha ujinga ni wetu
Lakini ukikosea ni marufuku kurekebisha?
Uneonyesha uhalisia wa mwafrika sasa, yaani tumchukie Mangungo, Tumchukie Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Jakaya, na Magufuli badala ya kuachana na mifumoKwanini chuki msielekeze kwa hao waliosign hiyo mikataba na kuikumbatia kwa zaidi ya miaka 25. Mnakuja kuileketa kwa mtu ambaye anafumua ukweli uliopo ndani ya hiyo mikataba?
Nawanukuu "TL ni Kibaraka wa Mabeberu, akipewa nchi atawapa wazungu".Uneonyesha uhalisia wa mwafrika sasa, yaani tumchukie Mangungo, Tumchukie Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Jakaya, na Magufuli badala ya kuachana na mifumo
Huyo unayemtetea ni afadhali angekuwa anafumua ukweli, bali yeye anatetea unaoita ukweli ambao ni maumivu
Hana haja ya kufumua maana hakuna anachosema wewe hukijui
Nawanukuu "TL ni Kibaraka wa Mabeberu, akipewa nchi atawapa wazungu".
Ubinafsishaji ulikuja wakati wa Mkapa. Mkapa aliwapa wazungu vitu vingi kwa mikataba mibovu, JK akaendeleza kuwapa.
Swali langu kwenye kwa nini msianze kuwachukia hawa kwanza walioiweka nchi kweli hali hii?
Mzee Baba namkubali sana kwa work ethic yake, hands on n.kWacha maisha yaendelee
Mzee Baba namkubali sana kwa work ethic yake, hands on n.k
Miaka miwili ya mwanzo kwa mimi alikuwa ni perfect, alianza kutatua matatizo(Uongozi) ambayo tulikuwa nayo kwa miaka 30. Uwajibikaji ulianza kuongezeka, ukusanyaji mapato ulipanda.
Kwa maoni yangu washauri (Mfumo) ndio umemwangusha kwa kumshauri vibaya. Kuanzia 2017 Mzee Baba aliachana na yale aliyokuwa ameanza nayo na ndio kipindi hicho mambo ya kuunga mkono juhudi yalianza, Neno Beberu lilianza wakati huo pia. Mabilioni ya pesa yakaanza kutumia kwenye kurudia uchaguzi n.k
Kwa mimi naona bado ana nafasi lakini arudi kwenye misingi ya mwanzo ya kutibu matatizo tuliyonayo ambayo ni "Uongozi"
HahaHuo ndio ukweli, mnajazana kwenye kakisiwa cha Watu manaacha mainchi yenu makubwa.
La sivyo muwaruhusu warudi tena kuwatawala na nchi zenu zipendeze ziwe kama kwao, nanyi muwe na EPL yenu, Man U, Liverpool, Arsenal n.k...msione vinaelea vimeundwa jamani.