Mzungu anawaambia wahamiaji wa kiafrika msije Uingereza "Don't come to England"

Kama hasaini kuna haja gani kuja kupiga kelele tunapojenga barabara
Yapaswa jenga barabara bila Uhuru na haki, yafaa nini kuwaambia usipochagua upande wangu maendeleo hutaletewa ikiwa kodi inakusanywa nchi nzima?!

Afrika ya kusini mzungu(kaburu) hakujenga nini?
Hospitali, barabara, shule, viwanda vikubwa & vidogo, madaraja,reli za kisasa, usafiri wa kisasa, viwanja vya ndege, ndege(KLM),magari, silaha, vifaa vya tiba vya kisasa ,majengo na maofisi nk.
Lakini kwanini Nielson Mandela, Steven Biko & Desmond Tutu walikuwa wanapiga kelele za nini mpaka jamaa akafungwa miaka 27?, ikiwa kila kitu kilikuwepo nchi kwao?!

Mkuu tafadhali na jitahidi sana peleka watoto wako shule aisee...!!
 
Kabisa hadi ukiwa na ela wanakuzingua, kuna mchezaji wa mpira Uingereza ni mwafrika ana range rover alikuwa analalamika kuwa kila mara anasimamishwa na askari wakihofia kaiba, anasema kuna siku kapanda treni first class, wale askari ndani ya treni wanamwambia unajua hii ni first class yani kama vile kakosea hana uwezo wa kulipia.
 
Hatuwezi kwa sababu tumekumbatia mifumo kandamizi
Acha kuzingua mkuu, kumbe akili unayo na unaelewa uhalisia ila basi tu unajitoa ufahamu sasa jitahidi watoto wasome zaidi yako...ili tuje pata moja ya viongozi bora hapo baadae.
 
Umeambiwa jibu ni ndiyo unauliza tena.Kwani hao waliobaki Africa ni wachache sana hawawezi kuijenga mpaka walio nchi za nje warudi?
 
Waafrika matatizo tunayatafta wenyewe. Tunasshindwa kutengeneza nchi zetu tunakimbilia za wazungu, kwani tuliwasaidia kutengeneza nchi zao?
Mkuu,

Pamoja na Matatizo(Mapungufu-Changamoto) ya Waafrika Tuliyonayo katika kuongoza Mataifa yetu.

Bado haiondoi Ukweli Kuwa Baadhi ya Mataifa Makubwa Kama UK,German,USA na Mengine Utajiri Wao pia Umechangiwa na Unyang'anyi Wa Mali na Raslimali Watu Walio Ufanya Africa na baadhi ya Mabara Mengine.

Kumbuka Pia Kuna Ukolini Mamboleo..!

JK nyerere Alifika Mbali nakusema Maendeleo ya Unyang'anyi-akiwatupia Madongo America na Ulaya.


Kuna hotuba moja ya Nyerere, kipindi cha Wosia Wa baba ilikuwa ikichezwa sana.


Alikuwa anaelezea dhana Ya Maendeleo.

Maendeleo ni nini..

Nini tufanye Tupate Maendeleo..

Hii hotuba Bwana Nilimheshimu kwa uwezo wa Juu sana,alikuwa anatiririika,alikuwa aneelezea kwa haraka zaiidi kwa Wepesi wa hari ya juu anafafanua kiwepesi hata kama kichwa kizito hutoki mtupu..akisindikiza na facts za kutosha.


Anasema Kama America Wanatengeneza coca na sisi tutengeneze Tunywe shida iko wapi.


Wakaangalia dunia Wakaona nchi za mfano kuhusu maendeleo Wakaiona America kaskazini na Ulaya zina ng'aa na zinamelemeta zinagrita.

Wakaona Wao Wanamajibu yamaana kuhusu Maendeleo...Wakaiga.

Kumbe sikilaking'a acho Ukadhani ni dhahabu...Sasa inadhaniwa ni Wengi Njia yao Simpuli kanoti bi dani..


Maendeleo Ya Unyanganyi/dhuluma hii Planeti au dunia Haiwezi...


Nyerere hii hotuba kichwa Kilikuwa kinafanya kazi kweli kweli alitisha sana.


Pamoja na kuvurugwa Historia Yetu Watu Weusi,Elimu, bila kusahau Kuwekwa daraja la mwisho la binadamu na Hawa wababe na Matatatizo Yetu Pia.

Tunaweza Kusonga Mbele na kufanya Makubwa sana katika Mataifa Yetu...!



Dambisa Moyo-Dead Aid.

Walter Rodney-How Europe Underdeveloped Africa.

Daron & James -Why Nations Fail.

Lee yuan keew- Singapore Story :From Third World To first.


John Perkins-Confession of an Economic hit Man.
 
Excellent kabisa, tena turundikane kwa kujiamini na kujidai hadi akili ziwakae sawa wanaolalamika ni raia wa kawaida lakini viongozi wao wanajua fika wanavyonufaika na Africa.
Kwao utakuwa jeshi la mtu mmoja,hutafika kokote.bora pigana ukiwa kwako.
 
Kwao utakuwa jeshi la mtu mmoja,hutafika kokote.bora pigana ukiwa kwako.
Watakaoenda wataenda watakaobaki watabaki, kikubwa tu wawe wapole sababu hata wao walikuja Africa wakajitawala, kutesa kwa zamu.
 
Uyo mzungu pimbi sana ..yeye kama nani anasema tusije kwenye yake, tutaenda tu hakuna namna anaweza fanya ..labda ajenge ukuta mkubwa na kuzuia ndege au meli kutoka Africa, azawaizi, tutaendelea kwenda tu. Pumbavu
 
The British should return what they stole from Africa first otherwise Africans should go there and take as much as they can

Waanze kuturejeshea CCM mali wanazoziiba tokea uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…