Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Ila Kwa uhalisia anaemuona mkenya monkey anakuona pia kama monkey,eti mtu akizungumza Kiswahili tunamuona hajasoma?Acha shombo babu! Kiswahili ni sehemu ya maisha yetu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
A soldier doesn't run away from war, you keep on fighting until you conquer.shower them with love,who knows , huenda Mungu akatoa husuda ndani ya mioyo Yao kupitia wewe.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Unajua shida yenu kubwa wakenya ni hii,
Huwa napenda kutumia huu msemo "Nyani haoni kundule" mna katabia ya uchokozi alafu mkijibiwa mnaona kama hamstahili flani hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi ongea ujinga kuhusu nchi yangu alafu nikuache haiwezekani kabisa hiyo.
 
Hahahaha, jambo baya likitokea kwa wakenya, mnajaribu kulifanya liwe ni jambo la sisi wote, lakini Eliud Kipchoge ni Mkenya, katika mitandao ya kijamii neno lililozagaa ni " Proud Kenyans", kwanini hapa usiseme " Shame on Kenyans?
Oy inabi tuanzishe Uzi wa kukusanya matukio ambayo wakenya wanayausisha na eac Kwa sababu ni mabaya yametokea kenya na yale ambayo ni mazuri yaliyo tokea Kenya wakaitenga eac na kuitaja Kenya kama Kenya mfano kipindupindu kikitokea Kenya wakenya uandika hivi na kutangaza hivi -------
1) EAC yaendelea kusumbuliwa na ugonjwa wa kipindupindu
2)watalii wakipungua Kenya Kwa sababu ya ugaidi hiyo habari itaandikwa na kutangazwa hivi na vyombo vya habari pamoja na serikali yao kuwa ----- Ugaidi washamili EAC watalii wapungua Kwa sababu ya usalama.
Sasa imekuwa kawaida Kwa wakenya jema lao kuwa lao na baya lao kuwa la Africa nzima au EAC mfano wanachezaji wao wakishinda mbio za dunia utasikia wakisema Kenya yazidi kung'ara hapo neno AEC wala Africa hautolisikia
 
Lakini mara nyingi watu wa mabara. mengine waanpomwita mwafrica hawatumii maana, hiyo inaa maana wachezaji wa kiafrica wanapobaguliwa michezoni huwa wanakilisha maana ipi hasa?
 
Toa mfano
 
Nani kaongea vibaya kuhusu nchi yako?, Msemo nitautumia tena sasa hivi,wewe ukicheka mkenya kisa kaitwa monkey ilihali wewe na mkenya hamna utofauti wowote si utakua nyani anayecheka kundu la mwenzie bila kujua lake pia lipo vivyo hivyo.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mkenya akiitwa nyani Basi Ni wayu wote weusi wametushinda tokea Brooklyn Hadi pale vitongoji vya Tandale.
 
Huwa hausomi nyuzi ndugu zako wanazozifungua?
Kwa hilo la nyie kutukanwa komaeni nalo tu ili Mpunguze shobo za kijinga kwa hao wazungu,
Kwanini ikiwa kwenye mambo mazuri huwa hamjumushi EA nzima lakini kwenye mambo mabaya mnajumuisha EA nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

WAKENYA WANAFKI SANA NA WANAPENDA SIFA! NYAUBA HAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…