Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

I can tell you , he is ghosting you really and he is feeling happy to do that .
 
 

Itakua ni watu wanaopenda blacks sababu hata wakati tunaanza kuchat he seems obsessed, i noted that from him.
 
Mi naitwa Vladimir niko hapa Moscow City[emoji28] napenda sana toto nyeusi sema mapepe yao ndio kero...karib sanaa!!!

Vlad mi siwapend nyie warusi na waitaliano asante sana kaka kozlov vladmir.
 
I can tell you , he is ghosting you really and he is feeling happy to do that .

He wasn't actually sababu amekua available na with reasonable reason...asante kwa ushauri wako[emoji120]
 
Makasiriko sio ya nchi hii

Yaani mtu maisha umeamua wewe unaambiwa mara njaa mara nini..wanataka kutulazimisha kukaa hapa kwa hawa wanaoinsist kuchepuka ni nature kwa wanaume tena kwa kujisifia kabisa, kumpiga mwanamke ni kumfundisha adabu, kua na wananwake wengi ni ufahari na kumzalia mkeo watoto wa nje ndani ya ndoa ni kawaida...Mungu anisaidie kupanga ni kuchagua aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…