Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

[emoji3][emoji3][emoji3] Wabongo bhna, mnawezaje kutafuta wachumba thru dating sites??
Sio wabongo tu ni duniani kote mkuu, kwani mleta mada kapata mchumba mbongo?

Na huko ulaya na marekani ndio zaidi kuna kila aina ya kudate... hadi "blind date "
 

Thanks for the compliment, mimi si mwembamba am a cury girl nna weigh 68kg, brown skin na niko sawa kwa wa Africa kuliko hata wazungu wenyewe ila km umechunguza kwa makini wazungu wa ss hv wanapenda shape kuliko wa zamani ndio maana hata wao wenye pesa zao wanafanya surgeries...nadhan kikubwa ni usibadili rangi ya ngozi..na usiwe tipwatipwa.

Kuhusu ujibuji wangu namshukuru Mungu alinibariki kufikiri kbl sijaongea au kuandika ndio maana hata km mtu akinikwaza hivi face to face ni heri nikae kimya kwanza hasira ikishuka ndio naongea...na mm ni mgumu sana kukerekwa sipendag kumpa binadam chance ya kutawala matendo yangu.

Kuhusu njaa sijajua umeiweka kwa level ipi ila kibongo bongo ni mdada wa kawaida niliyetoka mazingira ya kula, kusoma na kuish vizuri tu...nna kazi na mshahara wa kunifanya niishi very comfortable.
 
umedevelop feelings na mzungu au hela!?!...nyie ndo mnapelekwaga ulaya mnaenda kua organ donor bila kujua
Majuto mjukuu

Sasa kaka wewe ndio umekua mimi? Hela mbona hapa wabongo wanahonga sana tu? Maana kuna wabongo wana hela nzuri tu na hawaoni shida kukupa km akikupenda na nimeshawah kutana na mtu wa hivyo.

Well km walioolewa na wazungu wote ni organ donors bas na mm ntakua ila km sio wote basi am not worried at all.
 
Reactions: ABJ
Anaonesha ana akili zake nzuri tu ,mtazamo wake hata Mimi nimeupenda kwakweli
Ana tatizo Moja tu linalomsibu!!
Naam tatizo lenyewe ni kutotaka kufungamana na sisi wazungu weusi [emoji1787]


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Hamna kaka basi tu mambo ya choices[emoji28]
 
Akija hapa uber/bolt zote lipia wewe...kiufupi onesha na wewe una mchango fulani kwenye mahusiano yenu! The ideas is there's something you can offer katka mahusiano yenu ukiachana na pussy!

Tofauti na hapo ukijifanya kuleta mapenzi yenu ya kibongo msela anakuita akutoe uot kqa gharama zake ... unaaanza ooh sina nauli,

Ukitumiwa ooh tuma na yakutolea !
 
Si alikiambia kuwa anatoka kidogo?

Just wait, if it's over will be over.

Tiki mbili na meseji haifunguliwi it's normal.

Jipe subira

Anatokaga na still anakua available hofu yangu ni baada ya kuona ni mda mref almost siku tatu...by the way alitud alipata tatizo kidogo aliangusha simu ikajaa wino kwa screen so notification zote anapata ila screen haifunction..thanks for the good advice[emoji120]
 

Such a sad story, i hope it won't be like this.
 

Hii kitu hata kwa wabongo wenzangu hua sipend kuifanya, hua napenda kutumia hela na mtu nnaempenda japo kibongo bongo mwanaume akikupenda anakua hapendeleo sana utumie hela yako...ntafanyia kazi huu ushauri asante sana.[emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa funza kwan ni nini kuna shida gan

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
CHAI, HUWEZI OZA KIFUA AFU UWE MZIMA KUTOKA NIGERIA MPAKA MWANZA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa funza kwan ni nini kuna shida gan

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Sawa ila kaa ukijua unapo pokea vya bure sana, kuna wakati itafkia zamu yako ya kufidia na kulipia hivo vya bure. Siku yakikukuta ndo utaelewa kwasasa huwezi elewa.
 
Alafu ukifuatilia wasukuma wengi tafiti zangu zinaonyesha wameolewa uzunguni ,ila Dada zetu maisha ni haya haya kubarini kuishi kwenye uhalisia wenu na mu enjoy hasa, mambo ya kidhungu waachieni wadhungu, maisha yenyewe mafupi bado mdada unaji complicatisha ,unaolewa udhunguni ukaishi tamaduni ngeni za watu ili msifiwe au Hahahaa.
 

Wewe ndio unaona sifa wenzio tulioamua tunapenda so relax kila mtu aishi maisha anayoona yanamfaa.
 
Huo ulimbukeni na utoto tu hahaaa.... after all wakati hausubiri 2030 ni kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…