- Thread starter
- #501
Mkuu mpange tupige ngawira ..kwani mzungu ndugu yako..??![emoji1787]
[emoji23][emoji23]jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpange tupige ngawira ..kwani mzungu ndugu yako..??![emoji1787]
Sio wabongo tu ni duniani kote mkuu, kwani mleta mada kapata mchumba mbongo?[emoji3][emoji3][emoji3] Wabongo bhna, mnawezaje kutafuta wachumba thru dating sites??
Huyu dada ana emotional control nzuri sana.
Nimesoma comments za wana nikasoka na majibu yake ni mtu asiye na mawenge.
Sasa kuna mawili
Either
1. Wewe ni mwembamba labda na mweusi kwa hiyo umeona hizi ndo type za wadhungu maana wabongo wanapenda manyamanyama
Au
2.Una njaa
Ila mimi hayo yananihusu nilichopenda ni jinsi unavyojibu watu kwa utulivu
That level of utulivu is sexy.[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mambo ndo haya sasa
I'm happy for you sis
[emoji3060][emoji3060]
umedevelop feelings na mzungu au hela!?!...nyie ndo mnapelekwaga ulaya mnaenda kua organ donor bila kujua
Majuto mjukuu
Anaonesha ana akili zake nzuri tu ,mtazamo wake hata Mimi nimeupenda kwakweli
Ana tatizo Moja tu linalomsibu!!
Naam tatizo lenyewe ni kutotaka kufungamana na sisi wazungu weusi [emoji1787]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Akija hapa uber/bolt zote lipia wewe...kiufupi onesha na wewe una mchango fulani kwenye mahusiano yenu! The ideas is there's something you can offer katka mahusiano yenu ukiachana na pussy!Kama nakuona akili ilivyotulia sasa.. hongera kwa kupenda na kupendwa.. anza kutayarisha mipango ya kuhakikisha hizo siku anakula bata haswa usisahau kwenye utalii kubuku na safari akajionee wanyama pia.. Zanzibar kama haupo huko.. kila la kheri.. muonyeshe unaweza kutumia pesa yako kumpa raha pia.. mkitoka unamwambia utalipia bill unafanya style ya kama kupokezana kwa kujipimia urefu wa kamba yako.. mara tano chomeka wewe moja au mbili muhimu ukizidisha poa tu.. hata kulipia taxi etc
Si alikiambia kuwa anatoka kidogo?
Just wait, if it's over will be over.
Tiki mbili na meseji haifunguliwi it's normal.
Jipe subira
27 ~ 30
angalia usijetolewa kafara. TRUE STORY Hiyo
Kuna dada pale Mwz alikuwa mwanachuo, kwenye miaka kati ya 2005 hadi 2011 alikutana na jamaa wa kinigeria mtandaoni, wakaelewana vzr tuu, wakapatana kimapenzi, baada ya siku tatu jamaa likamrushia mdada milioni moja na kumuhaidi watakutana maana jamaa naye huwa anatembelea mataifa mbalimbali.
Ok so inawezekana wenge la ajali lilichangia ...
Kila kitu kikawakwenye panic mode
Akija hapa uber/bolt zote lipia wewe...kiufupi onesha na wewe una mchango fulani kwenye mahusiano yenu! The ideas is there's something you can offer katka mahusiano yenu ukiachana na pussy!
Tofauti na hapo ukijifanya kuleta mapenzi yenu ya kibongo msela anakuita akutoe uot kqa gharama zake ... unaaanza ooh sina nauli,
Ukitumiwa ooh tuma na yakutolea !
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa funza kwan ni nini kuna shida ganangalia usijetolewa kafara. TRUE STORY Hiyo
Kuna dada pale Mwz alikuwa mwanachuo, kwenye miaka kati ya 2005 hadi 2011 alikutana na jamaa wa kinigeria mtandaoni, wakaelewana vzr tuu, wakapatana kimapenzi, baada ya siku tatu jamaa likamrushia mdada milioni moja na kumuhaidi watakutana maana jamaa naye huwa anatembelea mataifa mbalimbali.
wiki ikawa ndo inamalizikia, jamaa likamtumia tena mdada milioni 2, huku wakiendelea kuwasiliana vzr tuu mpaka mdada wa watu kashangaa na
CHAI, HUWEZI OZA KIFUA AFU UWE MZIMA KUTOKA NIGERIA MPAKA MWANZA.angalia usijetolewa kafara. TRUE STORY Hiyo
Kuna dada pale Mwz alikuwa mwanachuo, kwenye miaka kati ya 2005 hadi 2011 alikutana na jamaa wa kinigeria mtandaoni, wakaelewana vzr tuu, wakapatana kimapenzi, baada ya siku tatu jamaa likamrushia mdada milioni moja na kumuhaidi watakutana maana jamaa naye huwa anatembelea mataifa mbalimbali.
Hio kwa waswahili inaitwa ndago, utajiri wa kichawi. Duniani mauzauza yapo. Ndo maana kuna Mungu na Shetani.CHAI, HUWEZI OZA KIFUA AFU UWE MZIMA KUTOKA NIGERIA MPAKA MWANZA.
Sawa ila kaa ukijua unapo pokea vya bure sana, kuna wakati itafkia zamu yako ya kufidia na kulipia hivo vya bure. Siku yakikukuta ndo utaelewa kwasasa huwezi elewa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa funza kwan ni nini kuna shida gan
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Alafu ukifuatilia wasukuma wengi tafiti zangu zinaonyesha wameolewa uzunguni ,ila Dada zetu maisha ni haya haya kubarini kuishi kwenye uhalisia wenu na mu enjoy hasa, mambo ya kidhungu waachieni wadhungu, maisha yenyewe mafupi bado mdada unaji complicatisha ,unaolewa udhunguni ukaishi tamaduni ngeni za watu ili msifiwe au Hahahaa.
Huo ulimbukeni na utoto tu hahaaa.... after all wakati hausubiri 2030 ni kesho