Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Soma vizuri nimesema kuna muda huwa tuna video chat na kupigiana cm pia

Niliona video chat, aim ya swali langu ilikuwa ni hizi normal phone calls...like if you know his mobile digits, umejaribu kupiga uone kama itakupeleka kwa voicemail au atapokea mtu hivi?

And how long have you known each other, kama ukicount since day one hadi hapo mbuzi alipokata kamba?
 
[emoji1][emoji1][emoji1] jamani
 
Una mawenge, tafuta Kazi ya kufanya! Wazungu Ni Kawaida hiyo the moment anakupa taarifa!

Sio unamjazia matext, unakuwa Ni Fala ukifanya hivyo

Nina ajira ndugu yangu, sijapenda mzungu sababu ya ajira na nimetuma txt mbili tu moja nilimjibu alivyoniuliza hali ya mguu wangu na ya pili ni kumjulia hali jana ambayo haikujibiwa na soma vizuri nimeandika sioni point ya kuendelea kumtxt mtu ambae hayuko online... so kiufupi ni sina ulimbukeni km ulivyofikiria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jua kali sana, linachoma kama upo jehanam.
 
Unawaza utapata wapi tena laki 7 baada ya kufunga p.o.p ya uongo. Njoo upambane na waswahili tufukunyuane bila mizinga mikali.

Maendeleo hayana chama

Sio kila mtu ni muongo muongo km unavyonifikiria, nipo leave ya kazi na mshahara wangu unaingia km kawaida so umaskini wa kutupwa wa kupiga vizinga vya kishamba sina.
 
Atakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.
 
Straight shooter [emoji23], umeona umchane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…