Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Straight shooter [emoji23], umeona umchane tu

Sijaona alichonichana hapo sababu mahusiano iwe ya mzungu au mbongo mambo ni yale yale tu kikubwa ni machaguo tu..yy aliwaza labda mimi ni wale mabinti njaa, ila namshukuru Mungu aliniepushia hilo.
 
Hahahahahaha unatambaa na chaki tu[emoji28] sini life tu [emoji28]
Za chaki hazitoshi. Hamna asiyetaka maisha mazuri aisee[emoji23][emoji23]. Yaani niteseke na chaki kusimama siku nzima na bado nikapambane kudandia daladala kwa dirishani kisa nabania pussy ambayo baada ya michosho ya daladala naenda kumpa Abdala anasimamia ukucha na kunibinua binua anavyotaka usiku mzima na bado hapo haimaanishi ha cheat ama nipo peke yangu? Hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake sijui wakoje yani hapo anakutumia pesa ili akuone kashajua wewe njaa kali anakulia buyu kali
mwishoe uobwe picha za pepsi
 
Hii mambo bana ukichukulia seriaz waeza lia aisee[emoji28] kuna pimbi moja iko Belgium iliwahi kuniweka kwa hii plan nikaona kweli Yesu ni mwokozi wa Maisha yangu!

Tumepitia mengi kama taifa!!!
Eti Yesu ni mwokozi wa maisha yako.
Vipi alikubwaga bila kukuaga?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah basi km ni hivyo afanye haraka arudi kwa mpenz wake mie kikubwa cha peke yetu kaburi, nimekua na hofu sababu siku niliyopata ajali nikavunjika nilitoka kuchat nae km lisaa tu nikapata ajali mbaya sana ya bajaj ila nashukuru Mungu nilivunjika vidole vya mguu tu katika kujaribu kujinasua, so ingekua vibaya zaidi ningeweza hata kupoteza maisha so my point ni kua chochote kinaweza kutokea ndani ya muda mfupi.
Leo atapatikana dear. Ondoa shaka kabisa huyo ni mzima kabisa wa afya.
 
dada marinda huyataki?sisi tupo maana now mid 20 bado unadai ukifika mid 40 tunakupokea tu waswahili wa tandale kwa tumbo tunakupokea kama ulivokuja.

Sio kila wazungu huwaza marinda, wale ni watu km sisi tu kuna wapenda marinda, walevi, wastaarabu, wenye roho mbaya na kadhalika so wazee marinda kokote wapo tu ni akili yako tu kujua unataka nini.
 
Ah basi km ni hivyo afanye haraka arudi kwa mpenz wake mie kikubwa cha peke yetu kaburi, nimekua na hofu sababu siku niliyopata ajali nikavunjika nilitoka kuchat nae km lisaa tu nikapata ajali mbaya sana ya bajaj ila nashukuru Mungu nilivunjika vidole vya mguu tu katika kujaribu kujinasua, so ingekua vibaya zaidi ningeweza hata kupoteza maisha so my point ni kua chochote kinaweza kutokea ndani ya muda mfupi.

Pole kwa ajali...by the way unaonekana ni msichana decent sana
 
You have to try...

Unajua kumtumia tu mtu text inakuwa haina ushahidi kama kaona au kasoma au hajasoma...

Ukipiga simu utakuwa na uhakika kama imepokelewa au lah, na hata ikienda kwa voicemail utajua na utaacha ujumbe...

Sawa mkuu ntajaribu kifanya hivyo nikiona ukimya unazidi.
 
Za chaki hazitoshi. Hamna asiyetaka maisha mazuri aisee[emoji23][emoji23]. Yaani niteseke na chaki kusimama siku nzima na bado nikapambane kudandia daladala kwa dirishani kisa nabania pussy ambayo baada ya michosho ya daladala naenda kumpa Abdala anasimamia ukucha na kunibinua binua anavyotaka usiku mzima na bado hapo haimaanishi ha cheat ama nipo peke yangu? Hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahah we mdada...
 
Unamuhitaji huyo jamaa zaidi ya sana. Siku tatu tu umekuwa na hofu kiasi hicho. Bora hata ingekuwa mwezi,.kweli mapenzi upofu.

Kuhusu mapenzi upofu sio uongo sio km simuhitaji na ndio maana nikasema nimedevelop feelings ila hiyo sababu ya kung'ang'ania sehemu km hainifit am too worth for that bro.
 
Atakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.

Kuna wimbo siku hizi nausikia hata sijui ni wa nani, anasema mpenzi wako ana mpenzi mwingine, na huyo mwingine anaye mwingine na mwingine.
 
Back
Top Bottom