Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Kwa hiyo hutaki kuolewa na sisi Waafrika wenzako???, Yaani unataka kudate na mijitu iliyowasuribisha babu zetu kweli?. Ngoja wakutatue marinda.

Ukioa wewe mwafrikaa sio mbaya kila mtu ana machaguo yake..hivyo hakuna kupangiana nadhani, waliowasulubisha mababu zetu walishakufa hiki ni kizazi kingine.

Hao wabongo wanaotatuaga marinda wamezaliwa ulaya au? Tujifunze kutokua bitter souls[emoji23]
 
Kutafuta hela? Dada yangu hatuna muda wa kutafuta pesa, hizi ndio tabia zetu, chuki roho mbaya na husda, na kulilia kutumiwa mikanda ya video chafu ..

[emoji18][emoji18]tunahitaji ukombozi wa hali ya juu.
 
Wafundisheni wenzenu kutumia pesa kwa mwanamke ni kawaida. Halafu mara nyingi unakuta ID zile zile ndo zinaongoza kwa makasiriko
 
Wafundisheni wenzenu kutumia pesa kwa mwanamke ni kawaida. Halafu mara nyingi unakuta ID zile zile ndo zinaongoza kwa makasiriko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana tahadhari tu anapeqa hakuna Cha bure dunia ya leoo.. Watu wanauzwa watu wanauliwaaa huko nje lakini yote hayo huanzia huku HELA HELA HELA. so awe makini tu
 
Hii inaitwa kitu kizito utosini
 
Njoo kwangu nikuoe, hutajilaumu.[emoji23][emoji41]
 
Hii nimeiokota huko forwarded as received ,muwe makini na wazungu wenu caring is poisonous trategy kuwapata japo siyo wote lkn kipaumbele ni usalama wako.🙃🙃
Me napinga mzungu Hadi mwisho.😅
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana tahadhari tu anapeqa hakuna Cha bure dunia ya leoo.. Watu wanauzwa watu wanauliwaaa huko nje lakini yote hayo huanzia huku HELA HELA HELA. so awe makini tu
Wengine wanaandika kwa hasira ndo shida
 
Wafundisheni wenzenu kutumia pesa kwa mwanamke ni kawaida. Halafu mara nyingi unakuta ID zile zile ndo zinaongoza kwa makasiriko
makasariko lazima tu MTT mrembo halafu shepu ipo anaendaje huko kiurahisi Niko GOBA hapa aje apige kitimoto kidg
 
Weka update kwenye uzi wako kua ali respond, wenye chuki wazidi kuumia,
[emoji2][emoji2]

Nimeweka na unadhani hawaoni basi wanaona[emoji23][emoji23]...ila wanajitoa ufaham wanacomment uta tatuliwa marinda na njaa zimekuzidi na kuna kiongozi wao eti kasema lazima nna njaa ndio maana sina gari[emoji23][emoji23]..mwanaume huyo jamani[emoji1787]
 
Utapokea mitusi!

Sasa hivi atatokea boyfriend wa mtu huko ataniambia nna njaa kali na nta tatuliwa marinda km sio kuniambia nifate asili nisijidai napenda watu waliotesa mababu zetu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…