Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Tamaa zitawaua Dada zetu
Wewe manka una kazi Why ukimbizane na wazungu?
Huwaoni kina mushi?
 
Hahaha.

Mimi nina swali moja tu, details alizofill wakati anakutumia pesa ni personal information kama majina

Na amount iliingia kwenye mobile money ya mtandao wa simu?

Ilikua ni majina kamili yanayo appear akitaka kutuma hela actually na namba ya simu ambayo tayari alikua nayo, alikua ananitumia process ili nipokee kwa njia ipi either km ni kwa cm au bank na vitu km hivyo[emoji4]

Na ili ajue ni mtandao gani km either ni tigopesa, mpesa su airtelmoney...iliingia kwenye cm km mtu aliepokea muamala wa kawaida.
 
Tusema ni maadili yao yapo hivyo ama ni political ideology yao kwamba wanatreat binadamu wote ni sawa? Maana naskia hata ukiishi uko wanakutreat kama wao na huduma zote unapewa as long as huvunji sheria zao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwanini wale wakimbizi kutoka Asia wanakimbilia zaidi nchi kama Uingereza na Ujerumani badala ya kwenda huko Scandinavian countries ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu akitaka kwenda kwampalange utaenda?
 
Back
Top Bottom