Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

We Kimbisa acha na Mzungu njoo nikuoe tutatukuwa tunazunguza kidhungu 😊
 
Anaonesha ana akili zake nzuri tu ,mtazamo wake hata Mimi nimeupenda kwakweli
Ana tatizo Moja tu linalomsibu!!
Naam tatizo lenyewe ni kutotaka kufungamana na sisi wazungu weusi [emoji1787]


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Watu wengi ukitaka kujua character yao


Wewe mdharau na mshushe thamani.Wengi wetu hatuwezi kuvumiliA kabisa lazima tutokwe na povu ila huyu ana conrol ndani yake kubwa sana
 
Sawa endelea kujichakata kimawazo

Interacial relationships and marriages are not fantasies mbona na ni kitu cha kawaida sana hasa dunia hii ya utandawazi ni sisi ndio nashangaa tunaona km kitu cha ajabu.
 
Twende nae taratibu Huyu mdogo wetu. [emoji1787][emoji1787]

Ukizaliwa na kukulia mazingira ya uongo uongo kila mtu utamuona muongo...actually uongo utakua ni sehemu ya maisha yako na kila mtu utahisi yupo km ww[emoji23]
 
Kupitia michango ya wadau wengi nimeamini watanzania wanachuki kali hasa wanaume, [emoji1787]
Tafuteni hela kaka zangu, mkiwa na hela hamuwezi kuumia mkimuona dada yenu anadate na mzungu.

Umeonaeh! Yaani wamemind kabisa as if labda ni ex-girlfriend wao ndio yuko na huyo mzungu aisee[emoji23][emoji23]
 
Kupitia michango ya wadau wengi nimeamini watanzania wanachuki kali hasa wanaume,
emoji1787.png

Tafuteni hela kaka zangu, mkiwa na hela hamuwezi kuumia mkimuona dada yenu anadate na mzungu.
We unafikiri hatuna hela, hela zipo bhana 😁😁😁
 
Back
Top Bottom