Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukaamua umtegeshee kabisa ili upate mimba lakin wapi..
Ukaamua umtegeshee kabisa ili upate mimba lakin wapi..
Lakini cha ajabu akitokea mtu akasema kuna rafiki au jamaa yangu ameshinda 500M kwenye jackpot, anaomba ushauri afanye biashara gani au anaomba ushauri anunue gari gani kati ya range rover na g wagon, hutaona mtu akilazimisha kwamba huyo rafiki anayemsemea ni yeye..this is africa and not only jf!!JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..
Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Nani atalea ?Mtoto Mzungu asitolewe please!
Mama yake JamaniNani atalea ?
Watoto wa kizungu wanataka maisha soft wakae masaki , mikochen ivi ata posta . Sasa uwapeleke yombo dovya, tandale kwa tumbo au manzese darajani awee 😁😁😁Mama yake Jamani
Hi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .
Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .
Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .
So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.
Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
mi ndo huyo mzungu kusema kweli nimeghafirika sana kusingiziwa mimba it hurts me!, I just wonder how is it possible..?Kisa ni mzungu ndo ukiachie kizazi chako ovyo ovyo 😕
Kuna mtoto wa kichina nilimkuta kijiji kimoja hivi kinaitwa mtakuja anapiga kilugha hatari 😜😜😜Watoto wa kizungu wanataka maisha soft wakae masaki , mikochen ivi ata posta . Sasa uwapeleke yombo dovya, tandale kwa tumbo au manzese darajani awee 😁😁😁
Emu rudisha mali mlizowapora babu zetu uko , Nina hasira sana na nyie watumi ndo huyo mzungu kusema kweli nimeghafirika sana kusingiziwa mimba it hurts me!, I just wonder how is it possible..?
am not that kind of dungadunga!
Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.Kuna mtoto wa kichina nilimkuta kijiji kimoja hivi kinaitwa mtakuja anapiga kilugha hatari 😜😜😜
Duh cheki huu ushauri hivi mnatuchukuliaje sisi wanaumeHuyo akusanye data zake zoteeeee anazo jua, wapi anafanya kazi au kama hafanyi ni yapi
Aweke picha, tiketi, mawasiliano n.k.
Aanzie Embassy na kuonyesha kila kitu
Kumbuka ziwe copy
Asome sheria za nchi za mbaba analeaje mtoto asiyeishi naye nae akatwe psa huko bila tatizo..
Akija kuzaa basi aombe DNA.. Nae ahakikishe mtoto wa Mzungu kweli if ka do na wengine pia
Ubalozi labda utamsaidia
Alee mimba kwa sasa vizuriiiii
Asiongee sana silaha kimya kimya bila vitishooooo
Rangi nyeupe ndo zinawachanganyaga, ilitakiwa ujue utajiri alionao ndo uzae. Kuzaa na mzungu maskini Bora uzalie hizi mbupu za kiafrika TUMwambie ailee mimba, akijifungua, kama mtoto ana damu ya kizungu, amtumie picha Mzungu - Mzungu hawezi kukataa. Ila akitokea Mtoto Black - hapo imekula kwake....Ila Mwambie kuwa hata Wazungu - wengi ni wabangaizaji tu...Msidhani wote wana good life...
instead of saying sorry for me now you're attacking!, which kind of a person are you..?Emu rudisha mali mlizowapora babu zetu uko , Nina hasira sana na nyie watu
Si unakataa mimba broDuh cheki huu ushauri hivi mnatuchukuliaje sisi wanaume
Hawa viumbe hawafai