Mzungu kakataa Mimba

JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Lakini cha ajabu akitokea mtu akasema kuna rafiki au jamaa yangu ameshinda 500M kwenye jackpot, anaomba ushauri afanye biashara gani au anaomba ushauri anunue gari gani kati ya range rover na g wagon, hutaona mtu akilazimisha kwamba huyo rafiki anayemsemea ni yeye..this is africa and not only jf!!
 

Huyo akusanye data zake zoteeeee anazo jua, wapi anafanya kazi au kama hafanyi ni yapi

Aweke picha, tiketi, mawasiliano n.k.

Aanzie Embassy na kuonyesha kila kitu

Kumbuka ziwe copy

Asome sheria za nchi za mbaba analeaje mtoto asiyeishi naye nae akatwe psa huko bila tatizo..

Akija kuzaa basi aombe DNA.. Nae ahakikishe mtoto wa Mzungu kweli if ka do na wengine pia

Ubalozi labda utamsaidia

Alee mimba kwa sasa vizuriiiii

Asiongee sana silaha kimya kimya bila vitishooooo
 
Kisa ni mzungu ndo ukiachie kizazi chako ovyo ovyo πŸ˜•
mi ndo huyo mzungu kusema kweli nimeghafirika sana kusingiziwa mimba it hurts me!, I just wonder how is it possible..?
am not that kind of dungadunga!
 
Watoto wa kizungu wanataka maisha soft wakae masaki , mikochen ivi ata posta . Sasa uwapeleke yombo dovya, tandale kwa tumbo au manzese darajani awee 😁😁😁
Kuna mtoto wa kichina nilimkuta kijiji kimoja hivi kinaitwa mtakuja anapiga kilugha hatari 😜😜😜
 
mi ndo huyo mzungu kusema kweli nimeghafirika sana kusingiziwa mimba it hurts me!, I just wonder how is it possible..?
am not that kind of dungadunga!
Emu rudisha mali mlizowapora babu zetu uko , Nina hasira sana na nyie watu
 
Mwambie ailee mimba, akijifungua, kama mtoto ana damu ya kizungu, amtumie picha Mzungu - Mzungu hawezi kukataa. Ila akitokea Mtoto Black - hapo imekula kwake....Ila Mwambie kuwa hata Wazungu - wengi ni wabangaizaji tu...Msidhani wote wana good life...
 
Kuna mtoto wa kichina nilimkuta kijiji kimoja hivi kinaitwa mtakuja anapiga kilugha hatari 😜😜😜
Hapo mchina alikuja kujenga reli mkataba ulivoisha akasepa , wao wanatandaza TU vizazi bila malengo . Ni Bora umzalie mwafrika mwenzio maskini TU sio watu weupe afu asielea mtoto na hata kwao hupajui.
 
Duh cheki huu ushauri hivi mnatuchukuliaje sisi wanaume
Hawa viumbe hawafai
 
Rangi nyeupe ndo zinawachanganyaga, ilitakiwa ujue utajiri alionao ndo uzae. Kuzaa na mzungu maskini Bora uzalie hizi mbupu za kiafrika TU
 
Emu rudisha mali mlizowapora babu zetu uko , Nina hasira sana na nyie watu
instead of saying sorry for me now you're attacking!, which kind of a person are you..?
can't you see i have a problem and need a solution!.
don't be that way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…