Mzungu kakataa Mimba

Mzungu kakataa Mimba

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
 
Tatizo la wadada wakimatumbi wengi kuamini kila mzungu ana pesa na yupo smart sana , kiufupi huyo ni mhuni kakusanya pesa zake za mawazo akaja kujituliza tu, akaichapa na kusepa kama wamatumbi wengi tu tunavyofanya na kukataa watoto.
 
Anahakika hakwenda huko akiwa na mimba ya siku Moja nanusu?? Yaan anahakika hakupasha kiporo kabla ya kwenda Kwa mzungu yaan 'Jumatano naenda Italy , Kwa hiyo kama unataka Njoo kesho nikupekuma?.

Nyinyi Mademu wa bongo hamshindwi, yaan hamshindwi , tunawajua vizuri kabisaaaa 🤣🤣🤣🤣


Jambo la pili , mzungu hajamuachia UKIMWI? Maana mademu wa bongo mlivyo daah🤣🤣
 
Jinsia ya kike kushoboka kwa hao wazungu huwa ni jambo la kawaida na ndo faida hiyo

asitoe mimba huenda ikawa ni mimba ya mtasha ila akizaa rangi za africa ukweli utajulikana na mtasha naamini atatunza damu yake iwapo kitatoka kitu white unywele flani hivi mtelezo kama rost.

Lakini kingine kwa nini umpe peku kisa ni mzungu? Na vilio vya kutelekezwa hakujua ye ni jobless anatanua tu miguu bila kuwaza mbeleni kitakachotokea akabiliana nacho vp?

Zaa tu kujifunza kuna namna nyingi sana!
 
Tatizo la wanawake wanapenda sana kudanganywa na hii ni kwasababu wanaongozwa na hisia na sio akili.

Kama hii sio chai basi huyo mzungu atakua niwa ajabu sana maana navyojua wazungu Huwa ni watu wanaojali sana damu zao.
 
9b4861f666489ad5b28228cc682cd5d4.gif
 
Back
Top Bottom