waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Tupatie picha kwanza tuzione tofauti na hapo fix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si unaona deal....na wao wanaonekana washamba. Anakuja mwingine anajiunga upande wako kutaka kuwadhulumu akikwambia madin hayo yana thamani kubwa sana. Myanunue kwa bei flani kwa jamaa kisha muwaache kwenye mataa nyie mkauze kwa mamilion....Ok wakishasema wanatafuta pakwenda kuuza, inakuwaje baada ya hapo
Mawazo ya wana ccm hayoMrudishie. Umaskini mbaya sana.Badala ta kuwaza kuanza kumtafuta ili umrudishie,unawaza kuuza. Du hatareee.