Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
- Thread starter
- #101
Nitawapa mrejesho nikifanikiwa kuzirudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa umezifananisha na zile za mbagala rangi tatu.Iyo moja kushoto ni 1200 iyo ya kulia ni 700 mwisho 650 total 1900..kwa bei ya jumla ni 1500 zote hizo over
Asee unanitisha bro, ila yote kwa yote niko huru sababu naenda kuzirudishaMason colors
Scroll kushuka chini utaziona, mwanzo nilifutaNitumie picha zake nikipe bei halisi.
Hivyo ni vitabu vya sheria jamaa yangu na kila mtu anapaswa kujua hayo bila kujali kasoma sheria au hajasoma, ukiwa na uelewa wa kitu fulani waelimishe wenzako wasije kuingia matatizoni kwa kutukujua maana kwenye sheria neno ' nilikuwa sijui ' sio kinga '' (IGNORANTIA JURIS NON EXCUSANT)Ila ww Mzee [emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji482][emoji28][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
We polisi nn
Acha wizi irudishe kwa wenye mradi hapo mwenyewe atakuja kuichukuaWeekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
eeh bana,kuna waislam wameiva aisee.Alimpata mhusika?
Acha uogaAsee unanitisha bro, ila yote kwa yote niko huru sababu naenda kuzirudisha
Hilo ndio neno..Asee unanitisha bro, ila yote kwa yote niko huru sababu naenda kuzirudisha
Rudi ulipoviokota, waulize wahusika, mrudishie huyo mama vitu vyake! huenda MUNGU ana kukonect na miasha mazuri ambayo hukuwahi kuyaota!Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
Acha uzembe wewe...chakuokota si chakuiba kauze upunguze ukali wa maisha yako, kwanza hao wazungu ni mabeberuOky naona wengi wanasema rudisha rudisha rudisha. Nitapita pale niache namba zangu na maelekezo incase wakivitafuta nitarudisha.
Ila naomba isiwe hivyo.
Wabongo hapo ndo tunapokosaga trust.Mkuu fanya hima umrudishie huyo MzunguWeekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
Mbona kama Ni white gold ambayo imenakshiwa na diamonds???Mawazo yangu ni kwamba zingekuwa ni Pete ambazo hazina thamani angezivaa,wala asingezivua aziweke kwenye kipochiNgoja tusubiri.
Kwenye jua kidogo zinatoa rangi zisizoeleweka, sijui ni ruby
View attachment 1934615