Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

Ok wakishasema wanatafuta pakwenda kuuza, inakuwaje baada ya hapo
We si unaona deal....na wao wanaonekana washamba. Anakuja mwingine anajiunga upande wako kutaka kuwadhulumu akikwambia madin hayo yana thamani kubwa sana. Myanunue kwa bei flani kwa jamaa kisha muwaache kwenye mataa nyie mkauze kwa mamilion....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…