Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania.

kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
 
Kichwa cha familia hiki
 
nani alikudanganya Ikulu yetu ilijengwa na mwarabu? Ikulu ilijengwa na wakristu wamisheni kutoka Ulaya mnaowaita wakoloni …
Ikulu ilikua madrasa, na ndiyo dar ul salaam (dar es salaam) yenyewe,yaani nyumba ya amani/salama,Hilo kanisa huko ufukweni lilikua msikiti,yaani mkoloni alipora ardhi ya ufukweni akajenga ofisi zake na nyumba za kuabudia,ocean road hospital ni mabweni na msikiti.
 
Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania.

kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
Yanga ni timu ya weusi,ikiitwa young blacks mwanzo,haikuruhusiwa kishiriki ligi ya wazungu mpaka baadae Sana,so acha uwongo
 
Yanga ilianzishwa na waafrika na ikatumika kuhamasisha upingaji wa ukoloni, kuhusu simba niache tu kusemaa
 
Ikulu yao ilikuwa Bagamoyo, hii nyingine acha kuihusianisha na hao raia.

Ikulu hii ya leo ilijengwa na Wajerumani labda kama unaongelea kiwanja inawezekana mwanzoni kilikuwa cha sultani ambaye aliuza kila kitu lkn jengo la Ikulu ya magogoni kama tulijuavyo leo hii lilijengwa na Wajerumani …
 
Back
Top Bottom