Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....

Mkuu kumbuka tekinolojia ya siku hizi hata akifanyiwa njama akatimuliwa nchini bado ana uwezo wa kutunmmia video conferece popote Duniani, akazungunza/hojiwa na waadishi wa habari in real time.
 
Kumbe wewe kada, mimi nilikua sifahamu, hivi kwenye avatar ni wewe au picha ya mtu mwingine?
 
Wapi mkuu jangwani au maelezo
 
Kwanza pole na ugonjwa🙂

Pili asante kwa hoja yako. Waliowengi wanakubaliana na wewe. Sheria irahisishe mtoa rushwa kupiga firimbi.
 
Mimi nashangaa sana na Kiswahili chetu watatanzania,na ndio maana nchi jirani kama Kenya wanasema kuwa wao wako bora kwa kiswahlli Hakuna kiswahili MUITALIANO,mtu wa ITALI anaitwa MTALIANA kwa kiswahili someni garama ya kiswahili kabla hajmarukia na kuandika majambo

Kwa kiswahili ITALIA inaitwa ITALI
mwenyeji wa ITALI anaitwa MTALIANA,period
 
kwahiyo..
atatuthibitishia kua:

1. alihonga apate deal..
isipokua kakutana na waliomzidi
akili..
2. anatuthibitishia bado 'diamond'
yetu ni 'bloody'..
na wao wazungu ndiyo chanzo..

hii movie ni kama mlienda sehemu kuiba halafu mkadhulumiana kwenye mgao..sasa mmoja anaamua kwenda polisi kushitaki kudhulumiwa huko..
 
Tafadhali mtaliano apewe ulinzi asitishwe ili ifikiapo kesho tujue ukweli wa pande mbili.yeye makamba jana katoa utetezi wake bila vitisho hivyo na mzungu pia apewe fursa sawa.
 
Asante Mkuu.... Kwa somo....... Maarifa hayana mwisho kaka...
 
Tafadhali mtaliano apewe ulinzi asitishwe ili ifikiapo kesho tujue ukweli wa pande mbili.yeye makamba jana katoa utetezi wake bila vitisho hivyo na mzungu pia apewe fursa sawa.
kuna ma el capo 20 (maluteni) wa mafia tayari wapo nchini kumlinda mtaliano na kulipiza kisasa kwa lolote litakalomtokea mtaliano.
 
hiyo mtaliana unajua wewe. Kuliana ni kitu kingine tofauti.
 
Kuna watu wanaitwa TISS.......

Unaweza kesho ukasikia muitaliano yuko mji Wa Milan....

Walaahi vile.....[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kabla hujasema yote haya inabidi kwanza uwe unamjua VincENZO Ni nani. Si mwepesi kama unavyodhani.
 
Mara nyingi wazungu koleo huita koleo, halafu miaka ya nyuma January aliingia Matatizoni na mama wa kizungu kwa mambo zake ya hivihivi sijui kesi hiyo iliishaje
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…