Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Ngoma ngondoigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....
Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....
Kumbe wewe kada, mimi nilikua sifahamu, hivi kwenye avatar ni wewe au picha ya mtu mwingine?Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
Wapi mkuu jangwani au maelezoKesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Wala sio lazima aseme kwamba alitoa rushwa, anaweza kusema kwamba alitoa $1M kwa Makamba kama malipo ya udalali wa kupigania tenda. In this case mzungu hajatoa rushwa na Makamba atakuwa matatizoni kwa kuwa dalali wa tenda ambayo mzungu analalamika kutopata.
Ila tu niseme kwamba sio kweli kwamba mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa. Mtoa rushwa anapotoa rushwa na kusema tunamwadhibu kwa kosa gani? Rushwa ni bei ya haki inayotozwa na mtu mwenye mamlaka au dhamana. Kwa maana hiyo kuna mnunuzi na muuzaji. Mnunuzi ananunua kwasababu anahitaji haki ambayo anashindwa kuipata katika muda na njia husika kwasababu muuzaji amefanya muda na njia husika kutopitika na mnunuzi. Hivyo basi kumwadhibu mtoaji rushwa sio sahihi na kufanya hivyo kunaendeleza rushwa! Nikitoa rushwa kumbe sitakiwi kusema maana nikisema kumbe sina utofauti na yule aliyepokea: if that is the case nitatoa na kutunza siri. Lazima tubadiri hii sheria au desturi inayosema kutoa rushwa ni kosa na badala yake tuseme mtoa rushwa ambaye atagundulika alitoa bila kutoa taarifa ataadhibiwa. Hii itamfanya mpokeaji kukataa maana hana uhakika kama mtoaji atakaa kimya!
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
kwahiyo..Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Asante Mkuu.... Kwa somo....... Maarifa hayana mwisho kaka...Mimi nasahangaa sana na Kiswahili chetu watatanzania,na ndio maana nchi jirani kama Kenya wanasema kuwa wao wako bora kwa kiswahlli Hakuna kiswahili MUITALIANO,mtu wa ITALI anaitwa MTALIANA kwa kiswahili somemeni garama ya kiswahili kabla hajarukia na kuandika majambo
Kwa kiswahili ITALIA inaitwa ITALI
mwenyeji wa ITALI anaitwa MTALIANA,period
kuna ma el capo 20 (maluteni) wa mafia tayari wapo nchini kumlinda mtaliano na kulipiza kisasa kwa lolote litakalomtokea mtaliano.Tafadhali mtaliano apewe ulinzi asitishwe ili ifikiapo kesho tujue ukweli wa pande mbili.yeye makamba jana katoa utetezi wake bila vitisho hivyo na mzungu pia apewe fursa sawa.
hiyo mtaliana unajua wewe. Kuliana ni kitu kingine tofauti.Mimi nasahangaa sana na Kiswahili chetu watatanzania,na ndio maana nchi jirani kama Kenya wanasema kuwa wao wako bora kwa kiswahlli Hakuna kiswahili MUITALIANO,mtu wa ITALI anaitwa MTALIANA kwa kiswahili somemeni garama ya kiswahili kabla hajarukia na kuandika majambo
Kwa kiswahili ITALIA inaitwa ITALI
mwenyeji wa ITALI anaitwa MTALIANA,period
Kabla hujasema yote haya inabidi kwanza uwe unamjua VincENZO Ni nani. Si mwepesi kama unavyodhani.Kuna watu wanaitwa TISS.......
Unaweza kesho ukasikia muitaliano yuko mji Wa Milan....
Walaahi vile.....[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Itakuwa vyema sana mkuu.kuna ma el capo 20 (maluteni) wa mafia tayari wapo nchini kumlinda mtaliano na kulipiza kisasa kwa lolote litakalomtokea mtaliano.