Kumbe hawa ndo wanaotoa rushwa nchini na wakishindwa kufanikiwa wanakuwa wakali. Asante kwa kuja,thanx for coming mzungu; hakika umejiingiza kwenye mdomo wa mamba. Watoa rushwa na wapokeaji rushwa kama ninyi ndo mnaotafutwa na serikali hii ya awamu ya tano.Sasa naye si atajichomesha kea kosa la kuhonga?
Mango garden.Ukumbi gani?
Hujui kwamba mtuhumiwa anaweza kugeuka na kuwa shahidi upande wa mashitaka ili kupata ushahidi wa kumtia hatiani mwenyehuu ni utani kabisa 'watu wazima naona tunachezewa picha sakwenye kosa kubwa zaidi? Ambapo mtuhumiwa husika hupunguziwa adhabu au adhabu huondolewa kabisa sure kesho hicho kitu hakipo na huyo mtu hayupo
wajua kutoa rushwa ni kosa,kumshawishi mtu apokee mlungula ni kosa pia?
Njoo pm mtoto mzuri nikupe vitu nyetiWewe mfua mashuka ya hotel tulia dawa ikuingie
You have spoken sense[emoji122] [emoji122]Wala sio lazima aseme kwamba alitoa rushwa, anaweza kusema kwamba alitoa $1M kwa Makamba kama malipo ya udalali wa kupigania tenda. In this case mzungu hajatoa rushwa na Makamba atakuwa matatizoni kwa kuwa dalali wa tenda ambayo mzungu analalamika kutopata.
Ila tu niseme kwamba sio kweli kwamba mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa. Mtoa rushwa anapotoa rushwa na kusema tunamwadhibu kwa kosa gani? Rushwa ni bei ya haki inayotozwa na mtu mwenye mamlaka au dhamana. Kwa maana hiyo kuna mnunuzi na muuzaji. Mnunuzi ananunua kwasababu anahitaji haki ambayo anashindwa kuipata katika muda na njia husika kwasababu muuzaji amefanya muda na njia husika kutopitika na mnunuzi. Hivyo basi kumwadhibu mtoaji rushwa sio sahihi na kufanya hivyo kunaendeleza rushwa! Nikitoa rushwa kumbe sitakiwi kusema maana nikisema kumbe sina utofauti na yule aliyepokea: if that is the case nitatoa na kutunza siri. Lazima tubadiri hii sheria au desturi inayosema kutoa rushwa ni kosa na badala yake tuseme mtoa rushwa ambaye atagundulika alitoa bila kutoa taarifa ataadhibiwa. Hii itamfanya mpokeaji kukataa maana hana uhakika kama mtoaji atakaa kimya!
Bosi wao kakalia kaa la moto,wanawaza ajira yao itakuaje?maana Magufuli hana mpango nao hao vijana buku7.wezi wa kura.CC.lizaboni anachungulia tu na kupita........vijana wa lumumba 46 buku 7 wanapita tu huku jana,walikuwa wanapita nakusema,lafudhi siyo ya mtaliano
Uko sahihi kabisa. Na ndio mana kesi ya Radar iliisha hivi hivi, kwa sababu mtuhumiwa huku kwetu alikuwa ni shahidi muhimu UingerezaHujui kwamba mtuhumiwa anaweza kugeuka na kuwa shahidi upande wa mashitaka ili kupata ushahidi wa kumtia hatiani mwenye
Well said..... Mkuu......In the 70's, my late Dad once said, "mwanangu nenda shule hadi sekondari na baadaye ufike Makerere. Sitakubali upate kazi za kunyooshewa mikono juu (kupigiwa kura). Zina laana." Hilo sikuliona wakati huo, until now.
Atawekewa ulinzi Na nani?Hii habari kama ni kweli,huyu mzungu awekewe ulinzi maana anaweza asifike hiyo kesho katika mazingira ya kutatanisha na vile vile msishangae kusikia mkutano huo umeahirishwa.
January anasema dadake alikuwa anapigwa miti na hiyo mzunguHuyu mzungu mwenyewe tumemzuia kuondoka hapa hotel sababu ya madeni tunayomdai ashachanganyikiwa tayari huyu ni wa kupuuzwa tu.
Ndio ni kweli alimuonga dada wa January kwa mapenzi yao binafsi.January anasema dadake alikuwa anapigwa miti na hiyo mzungu
Kwahiyo kampiga miti sanaNdio ni kweli alimuonga dada wa January kwa mapenzi yao binafsi.
***hahahahaa hatare mtu sijui kadate na waitaliano wote zaidi ya milioni 76?hahahaha maana anajua lafudhi ya kila muitaliana
Ila ktk paragraph yako ya kwanza, huyo Muitaliano sio NAIVE kivile kuwa hajui kuwa IGNORANCE OF LAW IS NO EXCUSE.Wala sio lazima aseme kwamba alitoa rushwa, anaweza kusema kwamba alitoa $1M kwa Makamba kama malipo ya udalali wa kupigania tenda. In this case mzungu hajatoa rushwa na Makamba atakuwa matatizoni kwa kuwa dalali wa tenda ambayo mzungu analalamika kutopata.
Ila tu niseme kwamba sio kweli kwamba mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa. Mtoa rushwa anapotoa rushwa na kusema tunamwadhibu kwa kosa gani? Rushwa ni bei ya haki inayotozwa na mtu mwenye mamlaka au dhamana. Kwa maana hiyo kuna mnunuzi na muuzaji. Mnunuzi ananunua kwasababu anahitaji haki ambayo anashindwa kuipata katika muda na njia husika kwasababu muuzaji amefanya muda na njia husika kutopitika na mnunuzi. Hivyo basi kumwadhibu mtoaji rushwa sio sahihi na kufanya hivyo kunaendeleza rushwa! Nikitoa rushwa kumbe sitakiwi kusema maana nikisema kumbe sina utofauti na yule aliyepokea: if that is the case nitatoa na kutunza siri. Lazima tubadiri hii sheria au desturi inayosema kutoa rushwa ni kosa na badala yake tuseme mtoa rushwa ambaye atagundulika alitoa bila kutoa taarifa ataadhibiwa. Hii itamfanya mpokeaji kukataa maana hana uhakika kama mtoaji atakaa kimya!
Nimecheka sana Asante kwa hiyoNi kweli ngozi nyeupe hata ikiwa jangili ikitunguliwa inageuzwa kesi kuwa alikua kwenye doria.