mkuu habari zako zinaukakasi kwa kuwa hata ile ya Uvccm uliyoileta kwenye jukwaa hili jana ilikanushwa vikali na Viongozi wa Kuu wa Taasisi hiyo.
Pia kwa mtu anayekusoma katika namna ya udadisi na mwenye kuipa kazi Akili yake basi atagundua kitu katika Mabandiko yako tena kitu ambacho hakina faida kwako, labda kwa Huyo unayempigania.
Jana nilikusapoti katika Andishi lako kuhusu Uvccm Kuandaa Maandamano lakini nilipokuja kuliona kanusho lao, nilikitoa maana na Kukudharau kwa kuwa Unaendeshwa na Chuki, wivu, fitna, majungu pamoja na Siasa za maji ya Mtaroni....
Hatuwezi kumlinda January kwa Kuwa Hata yeye mwenyewe amekubali kuipokea pesa hiyo. Lakini Licha ya Hivyo kamwe hatuwezi kumuacha mpuuzi Mmoja aendelea kukiharibu chama kwa Hekaya Za Kuzusha...
TIME WILL TELL