Mzungu ni nani? Naombeni mieleweshe hapa

Mzungu ni nani? Naombeni mieleweshe hapa

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Mzungu ni nani?

Kuna jamaa kanambia Mzungu ni mtu yoyote aliyezaliwa bara la Ulaya. Basi mimi nikamuuliza je Pogba ni mzungu kanibishia? Anadai Pigba ni mweusi hivyo hawezi kuwa Mzungu.

Nikamwambia jamaa amezaliwa Ulaya? Kwanini asiwe mzungu?

Basi tumebishana bila majibu, naombeni mnijuze, Mzungu ni mtu wa namna gani?
 
157D352D-671B-49FC-98B0-8E3520B017C0.jpeg
 
Mzungu ni BEBERU lisilo na ndevu na linalotupanda kweri kweri dona kantri.Ila pogba si mzungu maana anatokea kule kule beberu linakopanda majike mapumbavu
 
Unataka kujua mzungu jua kwanza mwafrika ni nani utapata jibu kuhusu mzungu.obama mwenyeww sio mzungu sembuse pogba
 
Labda tuweke nywele ngumu na laini, ila nywele laini awe mweupe.
 
Watu wa race ya caucasian ndiyo tunaita wazungu. Ndiyo maana race zingine na weupe tunawaita kivyao kama wachina au waarabu.
Wachina na warabu sio weupe wala hawapo walau warusi wairani.
Ujue kugofautisha light skin and white.
Hata waafrika light skin wapo, mfano khoi khoi hawana tofauti na wachina au warangi hapa kwetu, hata badhi ya wabantu wana light skin.
Unajua Utslia,Spain na greec hawatambuliki kama white people.
 
Mohamed Sallah ni mweusi halafu pogba ni mzungu.
Hatare sana.
 
Mzungu ni nani?

Kuna jamaa kanambia Mzungu ni mtu yoyote aliyezaliwa bara la Ulaya. Basi mimi nikamuuliza je Pogba ni mzungu kanibishia? Anadai Pigba ni mweusi hivyo hawezi kuwa Mzungu.

Nikamwambia jamaa amezaliwa Ulaya? Kwanini asiwe mzungu?

Basi tumebishana bila majibu, naombeni mnijuze, Mzungu ni mtu wa namna gani?
Mtu kutokea Afrika anaitwa muafrika,
Mtu kutokea China anaitwa mchina,
Mtu kutokea India anaitwa mhindi,
Kwa nini mtu kutokea ulaya asiitwe mulaya?
 
Mtu kutokea Afrika anaitwa muafrika,
Mtu kutokea China anaitwa mchina,
Mtu kutokea India anaitwa mhindi,
Kwa nini mtu kutokea ulaya asiitwe mulaya?
Africans
Asians
Americans
Europeans

Nafikiri kiswahili kina limitations
 
Back
Top Bottom