kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,150
- 7,790
Naona Mzungu kaamua kutupoza na machungu, kaamua kuweka option ya 1up, wahini mapema kabla hajatoa hii option....odds zipo mlima sasa tushindwe wenyewe.
UfafanuziNaona Mzungu kaamua kutupoza na machungu, kaamua kuweka option ya 1up, wahini mapema kabla hajatoa hii option....odds zipo mlima sasa tushindwe wenyewe.
Utakaempa akitangulia Kwa goli 1 tuu tayari iimetikNaomba ufafanuzi wa hii option
Team ukiipa 1UP ikiongoza goal moja tu, umekula helaNaomba ufafanuzi wa hii option
Ufafanuzi
Team ukiipa 1UP ikiongoza goal moja tu, umekula helaNaomba ufafanuzi wa hii option
Ni suala la Muda tu utalia soon, huo ni mtego wa kisaikolojia kitalaamu tunaita FOMO yaani hapo akichezesha system unaumia vibaya sana maana utakuwa kwenye kiwango cha juu sana cha Greedy.