Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Life gumu kila mahali kama huna fweza acheni ukenge! Eti Tz unaweza kuishi bila kazi (mtu mzima anatamka haya) Hata hawa kenge wengine wanaosema waliishi ulaya wanasema walikusanya mtaji wakarudi, why walienda basi? Walienda kwanza ndio wakarudi na mtaji halafu wakajigawia/katia hayo mapori wakiwa na fweza, we utoke chuo pale jalalani ukajigawie pori la nyokwe? Gusa unate..
Acheni ufirauni hapa kukatisha vijana tamaa ya kutafuta! Maisha popote iwe bunju, kariakoo, maswa, nachingwea, chato na kwingine kokote, dunia imeumbwa na mungu (kama yupo) na kawapa waja wake wajitafutie kokote, ukiona wewe unakula vizuri manzese waache wanaokwenda Mauritius, Pemba, Nakuru, Amsterdam, Dubai, Chittagong etc. na uache ufundi kwenye maisha ya wengine. HAYAKUHUSU