min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Haya maneno hauwezi kuta wanaigeria , wakenya au wa South wanaongea utakuta bongo nyoso tu ambayo Dr analipwa mil 1🚮Kuna ukweli ndani yake.
Haya maneno hauwezi kuta wanaigeria , wakenya au wa South wanaongea utakuta bongo nyoso tu ambayo Dr analipwa mil 1🚮Kuna ukweli ndani yake.
Taja kazi moja tu unayoweza kuifanya bongo ya kuajiriwa ndani ya miezi mitatu ukajenga nyumba na kupata usafiri wa kawaida tu?So wewe una amini Ulaya na Marekani ni rahisi kutoboa kwa mbongo kuliko bongo?
Ahaa kumbe ndio maana hukubaliani kwa sababu una amini katika kuajiriwa.Taja kazi moja tu unayoweza kuifanya bongo ya kuajiriwa ndani ya miezi mitatu ukajenga nyumba na kupata usafiri wa kawaida tu?
Jibu swali mkuu watu wameajiriwa na wameajiri bongo na wapo nnje ninayo mifano kibao tuAhaa kumbe ndio maana hukubaliani kwa sababu una amini katika kuajiriwa.
Ingekuwa kujiajiri ninge kutajia kazi nyingi Sana mkuu
Yuko sawa kwasababu kwake anatumia hela kidogo sana.Huyo ponjoro em atuachee, TZ ipi ina maisha mazuri kuliko Ulaya?
Madaku gaki pali mwenu mwe wa msopi, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diaspora wengi tu wanasomesha wadogo zao shule za maana wanawapa mitaji ya maana wanabiashara za maana bongo na wameajiri vijana kibao , maisha ni popote ila ulaya na America huduma za kijamii ni za kiwango cha juu na za uhakika , tajiri wa bongo anaweza kupata changamoto za barabara, vumbi , ajali za hovyo kitu ambacho mbeba box wa us au ulaya haweza kutana nacho.Ahaa kumbe ndio maana hukubaliani kwa sababu una amini katika kuajiriwa.
Ingekuwa kujiajiri ninge kutajia kazi nyingi Sana mkuu
Kwanini asingebaki hapahapa kutafuta mtaji??Jamaa yangu Mmoja alienda USA kwenda kwa kibarua cha kuvuna matunda..ila alikua na masters ya mambo ya KILIMO..jamaa anasema room ya kijinga jinga tu kwa mwezi USD 2400..alivopata mtaji hakukawia akaarudi...lakini Tanzania hii ardhi unaweza tafuta pori ukajigawia tu ...So it seems like ni kweli huko USA na Europe life ni tight sana
Mwenyewe nimeshangaaKwanini asingebaki hapahapa kutafuta mtaji??
Kuna watu wazima ila akili zao za kitoto..ukiwa kibarua US huwezi kutoboa kutokana na gharama za maisha kua kubwa,ila unaweza Kumake Kila mwaka Bongo ukarudi na dollars kadhaa ambazo huku Hela nyingi..Mwenyewe nimeshangaa
HaswaaYuko sawa kwasababu kwake anatumia hela kidogo sana.
Hii Tanzania unaweza kutumia 500 kunywa chai na mihogo.
Ila kiuhalisia huyo mzungu hawezi kuishi Tanzania maana wewe chukulia unalipwa 5500 kwenye kiwanda hapo umeingia saa 1 asubuhi na unatoka saa 1 usiku.
Mkuu ni kweli kuna jamaa na yeye ni Truck diver weekly analipwa 4000 USD na anajimake hapo Malamba ana eneo la heka 5 kajenga ghorofa na anasaidia ndugu zake. Hata sisi alitugawia ajiraKwahiyo jambo akiongea mzungu unalipitisha kuwa. Ndo ukweli.?
Kuna Jamaa amefariki mwaka huu mwezi 03 .
Alikuwa truck driver USA Ila Ndo alikuwa asaidoa mji mzima wa Bukoba mjini mpaka wanasiasa wabunge walianza kumchukia wakiamini Jamaa anataka ubunge na Elimu yake form four tu
Huyo ni mmoja Ila wapo Watanzania wengi Sana ambao wapo nje wanafanya mambo Makubwa Sana .
Ambayo wangekuwa hapa Tanzania wasingethubu kufanya.
Huyo mzungu ni mzungu pori na kitu kingine nilicho noticed waswahili kuna namna tunaumia kuona wenzetu wanaishi maandishi matatu(USA) au mtoni Kama BBC n.k
Fact kabisa.Mkuu ni kweli kuna jamaa na yeye ni Truck diver weekly analipwa 4000 USD na anajimake hapo Malamba ana eneo la heka 5 kajenga ghorofa na anasaidia ndugu zake. Hata sisi alitugawia ajira
hatari sana, najua bro fulani ali nunua biashara fulani huko majuu.Maisha ya huko si magumu ukilinganisha na huku, ila watu wa huko wamechoka na Fast paced environment, wana prefer laidback societies (huku bara giza), wamechoka na traditional jobs (9-5) Wana prefer namna tofauti ya kuingiza kipato, Wamechoka na everything being systematic, wana prefer loopholes… Wamechoka na capitalism wana prefer ujanja ujanja wa huku banana republic. It’s human nature kuchoka kuwa-caged.
Kwahiyo generally kabla haujawaunga mkono wanaosema nchi zilizoendelea zina maisha magumu unatakiwa kuelewa ninini wana maanisha sio kuyachukulia maoni yao kwa ujumla.
Huwezi kuwa unaishi nachingwea ukatuambia unajua maana ya maisha mazuri, what exactly do you know!? Afya, usalama, uhuru wa kutoa maoni, Ulinzi wa mtumiaji wa mwisho wa bidhaa…..
Kama unajali future ya maisha wa vijana wa KiTz, utaprefer mazingira ambayo yatawawezesha kupata hizo kazi (9-5) wafanye walipwe walipe bills zao maisha yaendelee… Watu wengi nchi hii 25+ hawawezi kujitegemea, nyie hamuogopi?
Ubunge.Taja kazi moja tu unayoweza kuifanya bongo ya kuajiriwa ndani ya miezi mitatu ukajenga nyumba na kupata usafiri wa kawaida tu?
Hahahah kweli aseeUbunge.