Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Nahama mjadala.Hicho kiswahili cha kuandika..."bus zenye viyoyozi"..!Hewa ya kwenye bus lilifoungwa vioo inafanana na hewa ya kwenye ndege??
Upo sawa.Basi niseme mfumo madhubuti wa ECS
Na hili ndilo tatizo la kwenye bus, kulazimisha watu wote 50 wafunge vioo na wote watumie AC.Upo sawa.
Binafsi pia sipendelei AC hata nikiwa kwenye gari binafsi. Huwa tunabishana na mama watoto tukitumia gari moja, ni mpenzi wa kufunga vioo AC iwe on wakati mimi napenda upepo.
Ndo anachosema mleta mada kuwa si sahihi maana hata hayo yaliyo na vioo makondakta hawataki uviguse.Niliwahi toka iringa kuja dar, bali halina hata option ya kufungua vioo.
Hapo ungefanyaje?
Hivyo vyoo vingekuwa kwa ajili ya watoto tu, sasa hivi unakuta watu wazima ambao wanageweza kuvumulia mpaka sehemu ya kuchimba dawa wanajiachia tu kukojoa kiholela ndani ya bus kwa sababu choo kipo. Bora bus lenye vituo vingi vya kuchimba dawa kuliko bus linalotembea na choo.Tena hapo ni chamtoto, usiombe hilo gari liwe na choo ndani, yaani ile harufu ya choo inarudi yote ndani, abiria mnaitafuna vizuri kisha mnaizoea, na mkishuka mnanuka harufu ya choo cha basi. Basi lenye AC na choo ndani kwa Tz ni majanga tupu.
Mimi hizo basi zisipandi tena.
Ni wajinga tu. Wangejua kuwa AC huwa haina uwezo wa kuongeza oxygen mpya, huwa tunavuta tu hewa ile ile iliyopo.Na hili ndilo tatizo la kwenye bus, kulazimisha watu wote 50 wafunge vioo na wote watumie AC.
Mimi yaninishindaga huwa nafungua kikoo isee then utasikia funga kikoo tumewasha AC huwa nawashangaa sana AC za aina gani zile hewa inakuwa zito plus uchovu unaongezeka badala ya kupungua..Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekanq sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Hahaha,Halafu kuna ndege zinabeba abiria hadi 400. Huko si atazimia kabisa!
option sahihi ni kupanda mikwecheUkikaa dirishani fungua kioo chako kula upepo au panda mikweche yenye Namba A na B nyingi A/c zimekufa
Mimi lazima nifungue vioo. Huwa nisipofungua lazima nifike nikiwa na kichwa kinachouma mno. Siwezagi. Watapiga kelele wee ila nitafungua tu.Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Hahaha, Ukute sasa wameweka yale madawa ya kuzuia harufu na yenyewe yana harufu yake afu atokee mluga luga asiyejua kuwa mule ni haja ndogo tu akashushe jambo lake.Tena hapo ni chamtoto, usiombe hilo gari liwe na choo ndani, yaani ile harufu ya choo inarudi yote ndani, abiria mnaitafuna vizuri kisha mnaizoea, na mkishuka mnanuka harufu ya choo cha basi. Basi lenye AC na choo ndani kwa Tz ni majanga tupu.
Mimi hizo basi zisipandi tena.
Hahaha. Ila JF ukiwa na hasira utateseka mno.Yoda umezoea kupanda zile bus za Adventure huko kwenu Kazuramimba Kigoma, ukishuka umeoga vumbi jekundu kama ulikua kwenye handaki lazima ukikutana na bus yenye AC uogope unahisi uko kwenye friji