N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

Hatushirikiani chochote na makafiri katika mambo ya Ibada. CHOCHOTE KILE. Kuwapongeza makafiri katika sikukuu zao za kishirikina ni kuwapongeza na kuwaunga mkono katika ukafiri na ushirikina wao na ni katika kushirikiana nao katika dhambi na uadui.

1. Kuamini kuwa Yesu Mwana wa Maryam (Amani iwe juu yake na Mama yake) ni Mungu ni ukafiri. Ametakasika Allah kutokana na wanayomshirikisha nayo.

2. Kuamini kuwa Allah amejifanyia mtoto ni ukafiri. Allah Ametakasika kutokana na kuwa na mshirika na Ametakasika kutokana na kuwa na mwana. Hana mwana wala mke.

3. Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume wa Allah, sio mwanae Allah, sio Mungu wala sio katika nafsi tatu za Allah. Ametakasika Allah kutokana na kuwa mtoto na wala Mola wetu hana nafsi 3 na Allah Ametakasika kutokana na kuwa na mshirika yoyote yule. Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume wake na ni Mtumwa wake.

4. Wakristo wanasheherekea krismasi wakiamini ni siku aliyozaliwa wanayemuabudu kinyume na Allah ambaye wanadai ni mtoto wake, bali wanadai kuwa ndie Mungu mwenyewe. Haya ni matusi makubwa kwa Allah. AMETAKASIKA MOLA WETU KUTOKANA NA YALE WANAYOMSHIRIKISHA NAYO. Hivyo hatushirikiani nao katika huu ushirikina na matusi makubwa wanayomtukana Allah Aliyetukuka. Na wala hatuwapi pongezi katika hili.

5. Sikukuu ya krismasi ni sikukuu ambayo asili yake ni ya kipagani, ina asili ya upagani wa kale huko. Hili wasomi wa kikristo wenyewe wanalijua. Na ina mchanganyiko wa upagani mwingi na mambo yasiyohusiana kabisa na Nabii Yesu
(Amani iwe juu yake) kama mti wa krismasi au "santa claus" uhusika uliojaa uongo na kuwadanganya watoto na stori za uongo za kishirikina.

6. Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) hakuzaliwa katika siku hii. Wakristo wenyewe (wasomi) wanalijua hili.

7. Hata kama ingekuwa kweli Nabii Yesu inajulikana siku aliyozaliwa, basi tusingeisheherekea siku hiyo kwa sababu yeye mwenyewe hakusheherekea siku yake ya kuzaliwa, wala Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambaye ni Mtume wa mwisho aliyekuja na Shari'ah ya mwisho ambayo inapaswa kufuatwa na watu wote mpaka Qiyama hakuisheherekea.

Kama ingepaswa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) basi Allah Angemfunulia hili Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) na angeisheherekea siku ya kuzaliwa Ndugu yake wa karibu sana na Waislam wangekuwa na haki zaidi ya kusheherekea siku ya kuzaliwa Mtume Yesu (Amani iwe juu yake). Lakini haijaja katika Shari'ah ya Kiislam kuwa tusheherekee siku ya kuzaliwa Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) wala ya mwengine yoyote yule.

Hivyo hata kama ingejulikana siku ya kuzaliwa Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) ni lini basi kuisheherekea ingekuwa ni uzushi katika Dini kama vile ilivyo uzushi katika Dini kusheherekea siku inayodaiwa alizaliwa Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) yaani Mfungo Sita tarehe 12. Bali ni uzushi katika Dini kusheherekea Mawlid kabisa.

Yesu (Amani iwe juu yake) hakuwafundisha wafuasi wake kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo haijulikani ilikuwa ni lini na Allah hajatujulisha kuwa ilikuwa ni lini, wala Mtume Muhammad ( Swala na Salamu ziwe juu yake) hajatusomesha kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Ndugu yake Yesu (Amani iwe juu yake) wala yeye mwenyewe hakuisheherekea wala Maswahaba zake (Radhi ziwe juu yao wote) hawakuisheherekea.

8. Waislam tumekatazwa kushirikiana na washirikina katika sikukuu zao. Sikukuu za washirikina ni Ibada kwao.

9. Tunaruhusiwa kutumia ugunduzi wa kiteknolojia wenye manufaa kwetu katika Dunia yetu hata kama umegunduliwa na kafiri.

10. Actually ugunduzi wa mambo ya kisayansi na teknolojia ni mchakato ambao Allah Amewawezesha watu wa Dini tofauti tofauti na mila tofauti tofauti na rangi tofauti tofauti kuugundua. Waislam pia wana mchango katika maendeleo ya sayansi na teknolojia zamani na sasa. Hivyo hii IPhone sio kwamba imeibuliwa tu, bali ukichimba utaona kuna mchakato wa fikra, majaribio na misingi iliyowekwa zamani na watu ikiwemo Waislam ambayo imekuwa ni misingi ya gunduzi zote za sasa. Kuna mikono ya watu wengi ikiwemo Waislam katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia zamani na sasa.
 
Hatushirikiani chochote na makafiri katika mambo ya Ibada. CHOCHOTE KILE. Kuwapongeza makafiri katika sikukuu zao za kishirikina ni kuwapongeza na kuwaunga mkono katika ukafiri na ushirikina wao na ni katika kushirikiana nao katika dhambi na uadui.

1. Kuamini kuwa Yesu Mwana wa Maryam (Amani iwe juu yake na Mama yake) ni Mungu ni ukafiri. Ametakasika Allah kutokana na wanayomshirikisha nayo.

2. Kuamini kuwa Allah amejifanyia mtoto ni ukafiri. Allah Ametakasika kutokana na kuwa na mshirika na Ametakasika kutokana na kuwa na mwana. Hana mwana wala mke.

3. Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume wa Allah, sio mwanae Allah, sio Mungu wala sio katika nafsi tatu za Allah. Ametakasika Allah na kuwa mtoto wala Mola wetu hana nafsi 3 na Allah Ametakasika kuwa na mshirika yoyote yule. Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume wake na ni Mtumwa wake.

4. Wakristo wanasheherekea krismasi wakiamini ni siku aliyozaliwa wanayemuabudu kinyume na Allah ambaye wanadai ni mtoto wake, bali wanadai kuwa ndie Mungu mwenyewe. Haya ni matusi makubwa kwa Allah. AMETAKASIKA MOLA WETU KUTOKANA NA YALE WANAYOMSHIRIKISHA NAYO. Hivyo hatushirikiani nao katika huu ushirikina na matusi makubwa wanayomtukana Allah Aliyetukuka. Na wala hatuwapi pongezi katika hili

5. Sikukuu ya krismasi ni sikukuu ambayo asili yake ni ya kipagani, ina asili ya upagani wa kale huko. Hili wasomi wa kikristo wenyewe wanalijua. Na ina mchanganyiko wa upagani mwingi na mambo yasiyohusiana kabisa na Nabii Yesu
(Amani iwe juu yake) kama mti wa krismasi au "santa claus" uhusika uliojaa uongo na kuwadanganya watoto na stori za uongo za kishirikina.

6. Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) hakuzaliwa katika siku hii. Wakristo wenyewe (wasomi) wanalijua hili.

7. Hata kama ingekuwa kweli Nabii Yesu inajulikana siku aliyozaliwa, basi tusingeisheherekea siku hiyo kwa sababu yeye mwenyewe hakusheherekea siku yake ya kuzaliwa, wala Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambaye ni Mtume wa mwisho aliyekuja na Shari'ah ya mwisho ambayo inapaswa kufuatwa na watu wote mpaka Qiyama hakuisheherekea. Kama ingepaswa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) Allah Angemfunulia hili Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) na angeisheherekea siku ya kuzaliwa kwa Ndugu yake wa karibu sana na Waislam wangekuwa na haki zaidi ya kusheherekea siku ya kuzaliwa Mtume Yesu (Amani iwe juu yake). Lakini haijaja katika Shari'ah ya Kiislam. Hivyo hata kama ingejulikana siku ya kuzaliwa Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) basi kuisheherekea ingekuwa ni uzushi katika Dini kama vile ilivyo uzushi katika Dini kusheherekea siku inayodaiwa alizaliwa Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) yaani Mfungo Sita tarehe 12. Bali ni uzushi katika Dini kusheherekea Mawlid kabisa.

Yesu (Amani iwe juu yake) hakuwafundisha wafuasi wake kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo haijulikani ilikuwa ni lini na Allah hajatujulisha kupitia Mtume wake kuwa ilikuwa ni lini, wala Mtume Muhammad ( Swala na Salamu ziwe juu yake) hajatusomesha kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Ndugu yake Yesu (Amani iwe juu yake) wala yeye mwenyewe hakuisheherekea wala Maswahaba zake (Radhi ziwe juu yao wote) hawakuisheherekea.

8. Waislam tumekatazwa kushirikiana na washirikina katika sikukuu zao. Sikukuu za washirikina ni Ibada kwao.

9. Tunaruhusiwa kutumia ugunduzi wa kiteknolojia wenye manufaa kwetu katika Dunia yetu hata kama umegunduliwa na kafiri.

10. Actually ugunduzi wa mambo ya kisayansi na teknolojia ni mchakato ambao Allah Amewawezesha watu wa Dini tofauti tofauti na mila tofauti tofauti na rangi tofauti tofauti kuugundua. Waislam piano wana mchango katika maendeleo ya sayansi na teknolojia zamani na sasa. Hivyo hii IPhone sio kwamba imeibuliwa tu, bali ukichimba utaona kuna mchakato wa fikra, majaribio na misingi iliyowekwa zamani na watu ikiwemo Waislam ambayo imekuwa ni misingi ya gunduzi zote za sasa. Kuna mikono ya watu wengi ikiwemo Waislam katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia zamani na sasa.
Ila wewe ni bonge ya zinzi halafu unsjifanya imani kali kafie mbele huko umbwa we
 
Umefafanua ki Ulamaa kabisa
 
Kwamba kuzibua mitaro ni halali lakini kura ng'roo ni halam😂View attachment 3520305

Bro Mshana Jr
Waambie Wasome hii kwa saut kubwa.

Quran 2 : 173
"Hakika Yeye amekuharamishieni mzoga, na damu, na nyama ya nguruwe, na kilichochinjwa kwa jina lisilo la Mwenyezi Mungu. Lakini anayelazimika kwa dharura, bila ya kutamani wala kuvuka mipaka, basi hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu.”

Wazingatie hapo kwenye Nguruwe, dharula na hapo basi hana dhambi.
 
Lakini anayelazimika kwa dharura, bila ya kutamani wala kuvuka mipaka, basi hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu.”
 
Nje ya mada ya mleta uzi, sisi Waislam tunamuamini Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) kuwa ni Mtume wa Allah Aliyetumwa kwa wana wa Israel. Amezaliwa bila ya baba na huo ni Muujiza wa Allah. Ameumbwa na Allah kwa Neno kutoka kwake Allah. Mama yake Alikuwa Mwanamke Mwema Msafi, hakuwa mchafu wala muovu. Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) sio Mungu wala sio Mwana wa Mungu na wala Mama yake sio Mama wa Mungu, Ametakasika Allah. Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) ni Mtume wa Allah na ni Mtumwa wake katika wana wa Adam aliyetumwa kwa wana wa Israel kuwalingania katika kumuabudu Allah Peke yake bila ya kumshirikisha na chochote kile na kuwalingania katika Uislam, Dini ambayo Allah Amewachagulia Walimwengu.

Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) alifanya miujiza kwa Idhini ya Allah. Tunaamini miujiza aliyotenda kwa Idhini ya Allah kama tunavyoamini miujiza waliyopewa Mitume wengine (Amani iwe juu yake).

Sisi Waislam tuna haki zaidi na Yesu (Amani iwe juu yake) na yeyote anayemuamini Yesu (Amani iwe juu yake) ni lazima amuamini na amfuate Mtume wa mwisho, Nabii Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambaye ni Ndugu yake wa karibu mno. Aamini na kuyafuata yale aliyokuja nayo Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ambayo yanasadiqisha yale waliyokuja nayo Mitume waliotangulia ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yao wote) na ni kipambanuzi cha haqqi waliyokuja nayo na batili waliyosingiziwa Mitume waliopita ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yao wote).

Mtume Yesu (Amani iwe juu yake) hajafa, wala hakusulubiwa msalabani, bali Allah Alimpaisha juu. Na karibu na Qiyama Nabii Yesu (Amani iwe juu yake) atarudi duniani na atatawala kwa uadilifu kwa Shari'ah aliyokuja nayo Ndugu yake (Swala na Salamu ziwe juu yake) atavunja misalaba na kuua nguruwe, na atamuua Masihi wa uongo (Masih ad Dajjal) na atarudi kama Mfuasi wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kutawala kwa Shari'ah ya Kiislam. Atafariki kama wanadamu wengine na ndugu zake Waislam watamzika.

Kwa wanaoweza kusoma Kiingereza wasome makala hapo chini waone msimamo wa Haqq wa Uislam juu ya Yesu (Amani iwe juu yake).
 
Attachments

Hatusherekei January sisi leo ni tarehe Rajab 05, 1447 Hijiriya yaani ni mwezi wa Saba tarehe 05

Waislam weng tu wanatakiana heri ya mwaka mpya 01 Jan.
Waislam weng tu wanapumzika na kuifanya sikukuu tar 01 Jan.

Mwaka mpya wa Waislam haujafanywa kuwa sikukuu.

Mwaka mpya wa Hijri sio sikukuu.
Hata ikifika huo mwaka wenu hakuna sherehe.

So wooote Tar 01 Jan tunasherehekea mwaka mpya.
Sikukuu iliyoanzishwa na Wakristo.
 
Yaani kudadeki inaniuma sana kuzungwa na jamii ambazo kwake dini za mkoloni ndio kila kitu natamani niende nchi kama JAPAN ambako watu wanaamini kwenye ETHICS yani ni ujinga ujinga ujinga
 
atavunja misalaba yote na kuua nguruwe wote, na atamuua Masihi wa uongo (Masih ad Dajjal) na atarudi kama Mfuasi wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kutawala kwa Shari'ah ya Kiislam. Atafariki kama wanadamu wengine na ndugu zake Waislam watamzika.

Waislam mko obsessed sana Nguruwe.
Nguruwe sijui kamfanyeje Mtume Mohamed.

Kwa kutumia Quran. Bila biblia.
Je kwann Waislam wamekatazwa kula Nguruwe?.
Kwann Nguruwe katajwa kwa jina kabisa kwenye katazo mara kwa mara ?. Na sio mnyama mwingine?.

(Msisitizo uwepo sababu ya Uharam wa Nguruwe kwa kukutumia Quran)
 
Hizo ni propaganda za Waislam wachache wenye chuki.

Quran 5 :5
"Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao".

Karibun Christmas ndugu zangu Waislam. Tule tunywe na tufurah kwa pamoja
Haina shida kumkaribisha muislam chakula ila kumkaribisha xmas hilo ni swala ambalo halina imani ya dini yoyote hata biblia haitambui xmas.
 
Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.

Kwamba kuzibua mitaro ni halali lakini kura ng'roo ni halam😂View attachment 3520305
Nadhani ni Mtu kuamua kuamini au kuelewa kama ulivyoelewa hapo,
Kosa Moja halihalalishi jingine.
Haraam ni haraam tu regardless itafanywa na wengi kiasi gani.
NA Halal itabakia hivyo regardless itafanywa na wachache kiasi gani.

Kwakuwa baadhi ya Muslims wanakula Nguruze, au ni wazinifu wa wazi, au wacheza Kamali wakubwa, au Washirikina lakin hai halalishi makosa mengine
 
Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
Uislaam unatutaka kushirikiana na wasio Muslims katika mambo mengi kama biashara, Uchumi, shughuli za kijamii ,kuwatembelea, wagonjwa na kuwasaidia lakin ukaweka Mipaka kuwa tushirikiane katika yote isipokuwa Mambo ya Kiibada.

Sasa ktk ibada za Kikristo mostly ktk dini yetu ni ibada za Kufru.

Au yoyote atakayeamini kinyume na Mafundisho ya Qur'an huyo amekufuru.
uislam unakinzana na Chrismass
na mambo mengine
na Ndio maana......

"Yeyote atakayempongeza mtu kwa kufanya maasi, au kwa kufanya bid'aa (uzushi katika dini), au kwa kufuru — basi amejifanyia hatari ya kuchukiwa na Allah na kupata ghadhabu Yake."
Maana:
Kumpongeza mtu kwa jambo ambalo ni uasi dhidi ya Allah, iwe ni dhambi, uzushi wa kidini au ukafiri, ni sawa na kushiriki naye katika hilo kwa moyo. Hilo linaweza kumvutia ghadhabu ya Allah kwa sababu ni ishara ya kuridhika na uovu huo.
Ujumbe:
Muislamu anatakiwa awe mwangalifu na pongezi au ushirikiano unaoonesha ridhaa kwa mambo yanayopingana na dini ya Allah, hata kama ni kwa nia ya urafiki au heshima ya kijamii.
 
Kwamba kuzibua mitaro ni halali lakini kura ng'roo ni halam😂View attachment 3520305

Kumuingilia mtu kinyume na maumbile na kula nguruwe ni haramu. Ila kumuabudu asiyekuwa Allah ni dhambi mbaya zaidi na kubwa zaidi kuliko zote katika Uislam. Shirki ndio dhambi kubwa kuliko zote katika Uislam.

Wewe mzee huwa unajifanya na busara za kuigiza. Usifikiri hatu notice kejeli zako dhidi ya Uislam na Waislam.

Mtuache tu Waislam na Dini yetu, sisi tuna Dini yetu na nyinyi mna dini zenu.

Yes, ni haramu kuwapongeza washirikina katika sikukuu zao. Tumekatazwa kuwapongeza watu wanaomtukana Allah matusi makubwa makubwa katika sikukuu yao ambayo wameifanya ndio siku kubwa ya kumtukana Mola wetu Mlezi.
 
Muelewe kwa namna hii.
Kwanza Zingatia neno Haram.

Kumtumia heri ya Christmas mkristo ni Haram kwa baadh ya waIslam.
Ushoga ni haram.
CEO wa Iphone ni shoga.
Bas wenye kuona haram kumtuma heri ya Xmas bas wasitumie na iphone. Kwasababu zote ni Haram.
Hiyo iPhone inagawiwa bure?
 
Hizo ni propaganda za Waislam wachache wenye chuki.

Quran 5 :5
"Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao".

Karibun Christmas ndugu zangu Waislam. Tule tunywe na tufurah kwa pamoja
Oya pilau wapi, nakuja na kanzu yangu swaafi kabisa kuuchapa mpunga.
 
😁😁😁😁 ww ndio ndugu sasa.

Pilau na Kuku wa kienyej .
Goba.
Tujishindilie haswaaa.
Then tunapumzika kidogo.

Baadae saa 11 hivi tunageukia bar za vijana Sinza . Tusafishe macho.

Tuanzie pale small planet.

Leo Kurud nyumban mapema labda nisikie nyumba inaungua.
 
Back
Top Bottom