N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

Yeah.. mie nitakuunga mkono kwenye pilau..
Mida ya wanga nitarudi kwa mama watoto.
Kibali changu mwisho saa 2 usiku, zaidi ya hapo ni kwa dharura.. ndoa yangu bado haijafikia kwenye kuchakaa πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ€£
Tupo stage ya mume wangu nakusubiri tule...
 
Vipi kuhusu mwaka mpya..
Huwa hamuwaambii watu heri ya mwaka mpya?.

Maana ni mwaka mpya ulioanzishwa na Warumi wakristo.
(Roma na papa Gregory).
Hata mwaka mpya pia sio sikuu yetu haifai kusherekea sikuu kwetu ni ibada na ziko Iddi mbili tu.
 
Umechambua vyema sana ngoja nikopi , Allaah akulipe kheri ndugu . Aamiyn
 
Kitimoto kwa sana... mimi nasikia harufu ya kitimoto tu wakati nilikua nasikia harufu ya maudiudi sijui madude gani hua wanayachoma mchana jioni usiku hua yananuka vibaya na siyapendi kabisa ila wao wanapenda sana kuyachoma..
Sahihi kabisa mkuu, mm hua yananikera kinoma Ila wao Unakuta wamejifungia nayo ndani
 
Hamsheherekei kuzaliwa kwa nabii Issa leo? acheni hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…