Na changamoto katika ndoa yangu. Mke wangu jeuri sana, Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa

Siku hizi vitoto navyo vinataka mkubwa anayejua kuhudumia mzee,tafuta location nzuri na ramani ya kumpata aliyehitimu shule na hajapata kazi wala biashara miaka 23-26 hawa wako serious sana
Location Hizi Hapa, :-.UDOM, Chuo Cha Mipango, DECA, CBE IFM,STJohn
Zote Dodoma
 
Tunaongea kiumeni, we kula hao single mother ila usiweke kambi kabla hujaridhika na tabia zao. Turudi nyuma kwenye changamoto yako, hivi siku hizi bado kuna wanawake wakorofi kwenye ndoa zao? Si unamuambia nenda kwenu katembelee wazazi wako mpaka nikuite, akileta ubishi unamuachia kaya unaenda kupozi kwa mchepuko mtulivu.
 
Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.

Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Wewe unataka kutatua changamoto ipi?
Ndoa yako isiendelee kukusumbua au
Namna ya kukutana na new product 😀
 
I
Siku hizi vitoto navyo vinataka mkubwa anayejua kuhudumia mzee,tafuta location nzuri na ramani ya kumpata aliyehitimu shule na hajapata kazi wala biashara miaka 23-26 hawa wako serious sana
Ili amharibie aanze kuitwa single mother kama hao anao wanyanyapaa, hizo age awaache waolewe akatafute mankula wenzie kama mkewe kamshinda huko nje vipi! Mke hawezi taka mahitaji makubwa wakati anajua hali yako, mchepuko hajui hilo utakamuliwa mpaka utumbo.
 
Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.

Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Yaani mke anakuletea jeuri?
Unamtunza na Kila kitu,mbona sielewi
Ningekuwa mwanaume sipati picha
 
Back
Top Bottom