Pole sana mkuu.
Kutafuta faraja nje ya ndoa, ni kutengeza tatizo zaidi.
Umejaribu kukaa na mwenza wako ( mkeo ) katika mazingira ambayo kama mtu na rafiki yake na mka zungumza ?
Kuna mahali tunawaona wana kiburi kwasababu tunashindwa kuwa treat fair ( tunashindwa kuwaonesha upendo kama mama kwa mtoto ), matatizo yake ndio kama hayo.
Mala nyingi chanzo cha kiburi kwa wanawake ( mke )huwa tunashindwa kuwa handle na kuwaonesha upendo, ila tunapenda kuonesha utemi. Kaa chini tafakari, njia unayotumia Haina solution isipokuwa unatengeza tatizo lingine.