Hapna mkuu dawa za haya mauchafu nikarudi nyumbani nazinywa kinouma, ila manufaa ya kubaki hivyo ni makubwa πUtaugua tezi dume mkuu,
Netanyau alinogewa na vita,kasahau kushenyeta
Jana kapimwa kakutwa na tezi dume stage 3
NI FEDHEA KWA KWELI
Mkuu nampango wa kutimiza miaka mitano sioni ukiweza shindana na mimi.Mimi nimeshiriki mara moja tu mwezi June, umenizidi padogo tu
Mkewe sio kichaa si ajabu kuna vitu havitaki, kwani Kwao hakuwa anatunzwa? Habari za kusema namtunza! Hivi asingetunzwa angemuona mrembo?Yaani mke anakuletea jeuri?
Unamtunza na Kila kitu,mbona sielewi
Ningekuwa mwanaume sipati picha
Yaan wewe 37yrs unajiona ushakuwa mzee,na sisi above 40!Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Kwenye miaka mitano huko nitoe, utachanganyikiwa shauri yako.Mkuu nampango wa kutimiza miaka mitano sioni ukiweza shindana na mimi.
Mbona nasikia ukiwa seximania(kithombi) ndiyo rahisi kupata tezi dume.Tezi dume hakuachi salama
Nimeamua tu kutafuta utulivu wa akili.Kwanini haujashiriki?
Kwel kutoshiriki kunaleta utulivu mkubwa wa akiliπSawa tuendelee basi kutokushiriki πππ
Duh,Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Kwa mwanaume mwaka 1 bado hujanishawishi na hamuwezi labda uniambie unajichulia sheria mkononiSure mama mchunga wewe nione hivi hivi tuπ
Ukome kabisa kwani huo ujeuri umeanza kuuona saizi? Si ulisema unampenda kwenye shida na Raha? Hizo ndio shida zake unatakiwa kuongezeka Upendo Sasa ππSijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Mwaka mzimaa, Hongera sana maana mwisho wa siku sex, inarudisha sana nyuma.Mwaka huu unapita sijashiriki hilo tendo kabisa kwa hilo najivunia mno π
Mwanamke mkaidi ndani ya ndoa hata nguvu za kiume ukiwa nae hupotea Wala hamu ya kusex nae hupotea!!Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
kuna aina ya mwanamke jeuli hata umuonyeshe upendo wa kiasigani habadiliki,mwamba yeye mnapishana sebureni kama marobot,yeye ni ukauzu tu.unafikili mwanamke wa hivi hata kitandani utamuanzaje!! mtakua mnafanya mapenzi au mnabakana.mwanamke mzuri ni mwenyekuonesha furaha kwa mume wake hata kukiwa na changamoto anatakiwa awe na uwezo wa kujadili kwa matumaini.Pole sana mkuu.
Kutafuta faraja nje ya ndoa, ni kutengeza tatizo zaidi.
Umejaribu kukaa na mwenza wako ( mkeo ) katika mazingira ambayo kama mtu na rafiki yake na mka zungumza ?
Kuna mahali tunawaona wana kiburi kwasababu tunashindwa kuwa treat fair ( tunashindwa kuwaonesha upendo kama mama kwa mtoto ), matatizo yake ndio kama hayo.
Mala nyingi chanzo cha kiburi kwa wanawake ( mke )huwa tunashindwa kuwa handle na kuwaonesha upendo, ila tunapenda kuonesha utemi. Kaa chini tafakari, njia unayotumia Haina solution isipokuwa unatengeza tatizo lingine.
Nimeweza na bado mwaka unaofuata nitaweza piaπKwa mwanaume mwaka 1 bado hujanishawishi na hamuwezi labda uniambie unajichulia sheria mkononi