Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Haya ndio matatizo ya kuachiwa gari na shemeji urudi nalo nyumbani baada ya kumpeleka stand. Sasa unaanza kusumbua raia wema wenye hali ngumu na wanachama wa kudumu wa chama cha washika Mkuki Tanzania (CHAWAMTA) wanaopambana na hall zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kinacho nishangaza kama mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 27+ halafu huna gari, sijui mnaishije hapa mjini aisee!!!! Si bora mrudi kwenu shamba mkalime mapapai labla mtaweza kupata hela ya ku effort kununua baiskeli....
Asante sana kwa kashfa zako ila usichokijua ni kwamba sio wote humu jf tupo mjini wengine tupo vijijini tunalima ila hata kwenye kilimo mambo sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
89% ya klugger zinamilikiwa na wahaya kama ilivyokuwa kwa toyota surf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…