connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Passo Owners Association (POA) Takbiiir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijisikie vibaya sana mkuu, tupo wengi. Ipo siku Mungu atakuneemesha utamiliki gari zuri sana, kila kitu ni hatua.Jf nisiye na gari ni Mimi Tu labda....
Amen brazaUsijisikie vibaya sana mkuu, tupo wengi. Ipo siku Mungu atakuneemesha utamiliki gari zuri sana, kila kitu ni hatua.
amen, mkuuUsijisikie vibaya sana mkuu, tupo wengi. Ipo siku Mungu atakuneemesha utamiliki gari zuri sana, kila kitu ni hatua.
AiseeUsijisikie vibaya sana mkuu, tupo wengi. Ipo siku Mungu atakuneemesha utamiliki gari zuri sana, kila kitu ni hatua.
Nini tena RRONDO ?Aisee
Hivi sikudai?Usijisikie vibaya sana mkuu, tupo wengi. Ipo siku Mungu atakuneemesha utamiliki gari zuri sana, kila kitu ni hatua.
Nimeshangaa kusikia umo kwenye group yetu.Nini tena RRONDO ?
Aaaah sikumbuki kabisaa, madeni yote nishalipa. Completely Debt Free [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hivi sikudai?
Mimi sijawahi kumiliki gari.Nimeshangaa kusikia umo kwenye group yetu.
Tupo pamoja.Mimi sijawahi kumiliki gari.
Hamna kitu kinacho nishangaza kama mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 27+ halafu huna gari, sijui mnaishije hapa mjini aisee!!!! Si bora mrudi kwenu shamba mkalime mapapai labla mtaweza kupata hela ya ku effort kununua baiskeli....
Acha kunipa presha mkuu na Land cruiser GX 100 yangu😝😝
Asante sana kwa kashfa zako ila usichokijua ni kwamba sio wote humu jf tupo mjini wengine tupo vijijini tunalima ila hata kwenye kilimo mambo sio poaHamna kitu kinacho nishangaza kama mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 27+ halafu huna gari, sijui mnaishije hapa mjini aisee!!!! Si bora mrudi kwenu shamba mkalime mapapai labla mtaweza kupata hela ya ku effort kununua baiskeli....
89% ya klugger zinamilikiwa na wahaya kama ilivyokuwa kwa toyota surfKwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha
Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !
"No offence"
Nami nimeshangaa jinsi Toyota Kluger inavyokata maji katika madimbwi na mifereji ya barabara za Dar. Hilo gari nimelikubali. Hasa baada ya kumsikia mtu mmoja akiita Prado "Lori", pale BF gerezani.