Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

Big bang theory
How i met your mother
The 100
Dark
Shadow and bone
The wheel of time
Ozark
Carnival row
Manifest
Stranger things
The boys
Hizo ndio nimezielewa
 
Hujakosea kutaja PB kama series yako #1, binafsi naona kama iliharibu ubongo wangu wa kuangalia series. Kuna watu walisifia humu money heist kuwa ni kali ama vinalingana na PB au inaizidi PB, ikaniladhimu kuitafta huwezi amin niliifuta baada ya kufikia season ya 2. Stori nyepesi sana kama za bongo movi.

Nijaribu kuelezea scenario mbili ambazo zinalengo moja. Ili mpango wa Scofield afanikiwe kutoroka gerezani, alimuchagua Sarah kama mtu wa kifanikisha mpango wake, akamuweka karibu pamoja na ups and downs katika kumuweka karibu akatengeneza tukio moja alafu akalisove mwenyewe ili awe gentleman kwa dem, akazima system ya kusaplay hewa gerezani wafungwa wakaliamusha wakaenda hadi kwenye chumba cha Sarah, gentleman akamuokoa. So alivyoambiwa aache mlango wazi was a temptation filled with passion of love kwa Sarah.

Tukija kwa money heist professor mahesabu yake ya kumuweka karibu afande wa kike haikuwa concrete, very poor scenario ambayo ni kiwango cha bongo movi. Afande anajua anadate na jambazi, anamkamata alafu anamuachia, then anaenda kujoin na jambazi🤣🤣🤣🤣🤣.

From there nikaifuta kwenye disk yangu na kwenda kuomba chenchi
 
Kwenye Prison break nakuunga mkono kwangu pia ni series yangu no 1 kwa ubora
 
American Odyssey
Tyrant
Power
All of Us are Dead
Breaking Bad
See
Money Heist
BMF
Squid Game
Queen of the South
Zero zero zero
Narcos(Pablo Escobar)
El Chapo series ya maisha yake
Gangs of London
Ozark
Blood& Water (utoto mwingi)
The Chi
The oval
List inaendelea
 
ukiongelea vampire diaries story yake inaanzia kwenye the originals na tukiongelea hii the originals ndo ilileta hamasa ya tv shows nyingi kuongelea story za supernatural baada ya hii kupokelewa vzri
 
sure mkuu kila mtu ana ladha yake ndo maana mzozo ni mkali [emoji28][emoji28] we unaipa namba moja then kuna mtu anasema hajaielewa kabisa
 
Into the badlands,
The beauty and the beast,
Kyle XY,
Stranger Things,
Transporter ( The series),
FBI,
Iron Fist,
The Punisher,
stranger things ni moto sana sema wanasua sua kutoa season 4 ndo wanaponikera huenda ikaishia njiani kama badland
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]chenchi walikupa kweli bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…