Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time


Nazikubali sana The Wire na Billions...zote zinahitimisha there is no easy way katika kutusua na kutusua kwa kucomply 100% na serikali ni ukiwa ndotoni !!
 
Uko vzr hasa ulipoinclude na Homeland, bt nadhan lost haikutakiwa kuwepo, it's very complicated.
Lost inahitaj akil nying mkuu.. nadhan ndo series yenye akil kuliko zote hapo...

Ishu ya
1.time travel imeongelewa humo
2.siri za summerian zimeongelewa humi
3.wataalam wanasema hii ilikua ni utabir wa ile ndege ya malaysia iliyopotea.. haikua bahat mbaya
4.imeongelea magnetic field ya dunia na uwezo wake

Aisee ni moja ya series zenye akil sana ukiachana na mambonya series za kupigana pigana na bunduk...

Hapo series zenye akil znazofata ni hizo za ugaidi kama 24hr,, homeland na nyingne yenye akil ni prison break.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiongelea vampire diaries story yake inaanzia kwenye the originals na tukiongelea hii the originals ndo ilileta hamasa ya tv shows nyingi kuongelea story za supernatural baada ya hii kupokelewa vzri
najua lakini nimeangalia vampire diaries yote nilivyomaliza nikaanza originals lakini sikupenda visa vyake.
 
Kwangu Breaking bad is my # 1 napenda vitu vyenye uwalisia. Kuna series pia inaitwa Mad Men pia inauhalisia sana kwenye maisha ya Hasa wanaume wa mjini

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Into the badlands
 
kwa ambaye yupo mbeya ninauhitaji wa hizi series
1.prison break(season zote)
2.the blacklist.
3.tyrant.

nipe location
Ninayo Tyrant S03 pekee hizo za mwanzo niliangalia kitambo na nilishafuta.
 
Kuhusu hili la ipi bora inategemea na mtu ladha yake ipo wapi.. Thats why hatuwezi fika hitimisho. Hivo ni bora kuweka in categories.
Binafsi si mpenzi wa movies/series za mapigano (since yale huwa haya hapen in real life)
Napenda sana drama, then comedy na Animation.
Hence nimeipenda sana "breaking bad" na sahivi nipo namalizia "better call saul " S05, though wana release S06 soon.
Zingine nazokubali ni
°The 100(hii ina hadithi flani za sumerians)
°Lost
°The last kingdom(story hata characters sawa na Vikings)

 

How I met your mother, shameless (I prefer UK version but some people prefer US version ) ,Stranger things, cobra kai,blackish ,power , everybody hates Chris, Marlon , if loving you is wrong, Ertugru , All Hail King Julien ,Lupin, into the badlands, Bridgerton.
 
Bila "power 2014" na "spartacus" hamna kitu hapo pia "tyrant" ndo babalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…