Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

Usiukimbie uzi wako wewe fundi mbao
 
Unadhani timu kubwa zinaogopa challenges???huwezi kuwa mkubwa kama hutaki changamoto..nyie kinyesi fc mnaogopa kufungwa 5 akati hata ahly anakulaga mara kibao tu,anyways kila mtu na kombe lake nyie mko loosers huko mnapiga vibonde wenzenu
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana. [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…