Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

..., Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake

Rekodi ya aina yake bado ni hii:

1680315370097.png
 
Unadhani timu kubwa zinaogopa challenges???huwezi kuwa mkubwa kama hutaki changamoto..nyie kinyesi fc mnaogopa kufungwa 5 akati hata ahly anakulaga mara kibao tu,anyways kila mtu na kombe lake nyie mko loosers huko mnapiga vibonde wenzenu
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana. [emoji16]
 
Back
Top Bottom