Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Picha inajieleza.
Screenshot_20260322_055752.jpg
 
Hii ni Muhimu:
“Mjinga hawezi kulindwa kutokana na upumbavu wake. Ukijaribu kufanya hivyo, si tu utamwokoa ghadhabu yake, bali pia utajaribu kumzuia kupata faida yoyote anayoweza kuipata kutokana na uzoefu wake. Usijaribu kumfundisha nguruwe kuimba; utapoteza muda wako na kumkasirisha nguruwe.”
 
yupi sasa kati ya hao pichani umenichanganya weka bayana, maana huyu wakulia jana tu nimetoka kugombana nae ni mkorofi haswa. so unazungumzia mdudu yupi hapo..?
 
Inaendelea:

Nguruwe hupendelea kuoga matope yaliyo masafi, lakini ikiwa hakuna kitu kingine kinachopatikana, huwa wanaoga mara nyingi mkojo wao wenyewe, jambo ambalo husababisha wazo kwamba ni mnyama mchafu.
 
Mdudu wa kushoto huyo anaekimbia hapo humuoni?
ahaaa kumbe... kama ni huyo sijawahi kugombana nae maana mara nyingi nakutananae akiwa ameshakutana na manunda kalegezwa hajiwezi, akikutana na mpishi nguli ndo huwa hajiwezi kabisa isipokuwa huwa anaongezeka utamu mezani...
 
Mara ya mwisho lini kukutana nae?
 
Back
Top Bottom