CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ingawa nimechelewa ila sio vyema nikaa kimya.....Niwie radhi sis¡¡¡¡
Very goood..Kakitafuna na mimi
Loya kamanda Ruttashobolwa yuko server room (BAN) mpaka arudi itakuwa labda mwakani honey. Mwacheni apumzike kwanza, kazi ya kuwavua fisiem magamba ina gharama zake.
COPY: Passion Lady.
we nawe tatizo loya anakufungia sana, ila kuna kiporo cha keki nimekufichia pacha njoo uchukue
acha tu pacha
nimefungiwa kisa eti
nilizidi kuzurura humu,kila
kona nilikuepo sa hiv geti kali mwendhio!!
​i mic u my pachaaisee, mwambie apunguze majealous basi, uwe unakuja kutupa hi, nisipokuona pacha mwenzio nakuwa mpweke sana
​i mic u my pacha