*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
~Heaven father, please bless sweetlady for today is her birthday. Dear Lord please protect and guide sweetlady as she continue along the path you have chosen for her. Give the courage to follow in your light and feel you love wherever she goes~

*Make her strong and give her the strength to make good decision in the coming year. Keep her free from illness and sadness, for she is truly good person who deserves happiness and success in all aspects of life*

~*We know that life is like a book. With each new chapter we learn and grow towards what you would have us be.*~

~*~bless sweetlady now on this day in the future~*~

*.....*in your name i pray*.....*
*~*~*.........EIMEEEN.........*~*~*

Cc: Arushaone, Mtambuzi, ladyfurahia, Mamndenyi, Erickb52, Mokoyo, Simplicity, Judgement, MziziMkavu, LiverpoolFC, Chocs, Heaven on earth, Baba V, Madame B, Smile, Bishanga The secretary Vin Diesel, Mr Rocky, Kaizer chama, Ritz, KOKUTONA amu Ben Saanane, Chimbuvu, lara 1, Himidini, DEMBA, Asprin YNNAH, sosoliso, kiwatengu, shansarie Paloma Arabela Eli79, Passion Lady charminglady, mshana jr tinna cute Myakubanga, Wisest man BAK Kongosho, Zahra White kabanga
 
Last edited by a moderator:
sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.
 
Last edited by a moderator:
On this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more to come... HAPPY BIRTHDAY MY sweetlady!!!!

They even say that you can count your true friends on 1 hand - but not the candles on your birthday cake!
Birthday Cake.jpgCelebrate your birthday today. Celebrate being Happy every day!

HAPPYBIRTHDAY sweetlady!!!
 
Last edited by a moderator:
hongera sweetlady kwa kuongeza miaka mingine ya kuishi hapa duniani Mungu akupe afya njema na uwe na siku njema leo na hata milele pokea kazawadi haka :A S-key::A S-key: ni ufunguo wa maisha mapya kwako na uone nuru ya mwangaza katika kial ufanyalo :A S-coffee: natangaza vita na wale wanakunyemelea kuharibu maisha yako :director:
 
Last edited by a moderator:
sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.

hahahaaa...... Hata wewe ni mkware mmoja wapo
 
Last edited by a moderator:
hongera sweetlady kwa kuongeza miaka mingine ya kuishi hapa duniani Mungu akupe afya njema na uwe na siku njema leo na hata milele pokea kazawadi haka :A S-key::A S-key: ni ufunguo wa maisha mapya kwako na uone nuru ya mwangaza katika kial ufanyalo :A S-coffee: natangaza vita na wale wanakunyemelea kuharibu maisha yako :director:

kwa niaba yake nasema EIMEEEN!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba id ya mdau huyu imenipotea mbonini lon time na kuanza kuisahau kiasi flani !
Nwy nakutakia kila la kheri Ladyswit .
 
Wee tangu lini umekuwa mshenga wa nitonye? Unadandia treni wakati kwako kunaungua?

Happy Birthday SL

sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.
 
Msukumo wa hii vita unaletwa na nini?

Back
Top Bottom